Nimefadhaika na kusikitishwa sana leo hii.

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
Hakuna siku nimefadhaika na kusikitishwa maishani mwangu kama leo..Kukosa JF kwa masaa haya 6 ilikuwa ni safario ndefu na ngumu..Ni heri kukaa nyikani na kuteseka kuliko kukosa JF.

Jitihada zenu timu ya JF nazipongeza sana,lakini nawaacha na wosia kuwa UJASIRI UNAHITAJIKA SANA KIPINDI HIKI KIGUMU KWA KUWA NJIA YA KWENDA KWENYE UKOMBOZI NI NYEMBAMBA SANA NA IMEJAA MIIBA.

Mungu Ibariki Tanzania ,Mungu Ibariki JF asanteni kwa kusoma nilichoandika
 
Mkuu, hata mimi niliingiwa na simanzi usiombe. Nikawa najaribu tena na tena. Mwisho, eti nikawa na hasira kabisa. Sijui kwa nini! Yaani we acha tu. JF bana!
 
Mkuu, hata mimi niliingiwa na simanzi usiombe. Nikawa najaribu tena na tena. Mwisho, eti nikawa na hasira kabisa. Sijui kwa nini! Yaani we acha tu. JF bana!

Vijana wamebambana sana...Yaliyotokea nadhani ni makubwa sana lakini wamemudu...Dakika za mwisho hizi lazima mijambazi ifanye ufashisti kuharibu kijiwe ili watu tusiwapake na mitakataka yao
 
Ndo mnanifumbua macho nimejaribu sana ati mwisho nikafikiri kuwa net ni mbaya. Aaah tumerudi tena hewani kama kawa.
 
Ndo mnanifumbua macho nimejaribu sana ati mwisho nikafikiri kuwa net ni mbaya. Aaah tumerudi tena hewani kama kawa.

mi nimehangaika yaani nilikuwa kama mgonjwa leo..dahhhh ..CCM hata kama tunawapiga madongo msitufanyie hivi jamani..yaani mnaroga mpaka server...
 
mimi pia nasikitika nipo huku shinyanga vijijini nafanya research under UNDP kuhusu uendeshaji wa kampeni nafurahishwa sana na watu maana wameichoka ccm
 
mimi pia nasikitika nipo huku shinyanga vijijini nafanya research under UNDP kuhusu uendeshaji wa kampeni nafurahishwa sana na watu maana wameichoka ccm

hebu cheki PM yako nina mazungumzo na wewe
 
Mwenzenu nilifikiri jf tumevamiwa na wana it wa mafisadi wakaamua kutublock. kidogo niwasiliane na wakuu wetu hapa, ndo nkapata message yao kuwa ni marekebisho madogo!
 
mi nilitaka kupigana kabisa..aisee afadhali tusile mchana kuliko kukosa hii kitu JF ...yaani maisha yalikuwa magumu kweli..Nikaanza kuwazaaaa dahh Kweli JF unatuacha peke yetu...unaenda zako kweliiii....
 
hongera Invisible na timu yako. Siku Jf ikifa sijui nitaishi vipi . poleni wenzangu tuliofadhaika muda huo.
 
hongera Invisible na timu yako. Siku Jf ikifa sijui nitaishi vipi . poleni wenzangu tuliofadhaika muda huo.

hahaaaa mi nimenuna siku nzima leo ..nimepiga simu sanaaaaaaaaaaaaaaaaa....dahhh huyu mganga wako Invisible usije kumuacha yaani mi kaniloga na JF nadhani dawa imenikolea sana
 
invisible na wenzako kuna siku tutawavika medani
 
nadhani kuanzia 31 oct mpaka tarehe moja ama mbili itakuwa ni issue kwa mtandaoa wa JF kuwa byee, nadhani jamaa watahujumu tena ili tusiweze kupata matoke live ya kutoka sehemu mbalimbali, MODs PLZ JIANDAENI NA HILO KWANI WENGI TUNATAKA TUJUMLISHE KURA ZOTE ZA RAISI HUMU NDANI YA JF
 
hivi kumbe kulikuwa na tatizo....mimi niliona imedon't nikapiga simu kunako makao makuu tigo nayo ikawa inanizingua....so ahera sikuwepo duniani kwenyewe nilikuwa natafutwa
 
Nilifikiria kuwa ma mods wame nibann! lol! sababu nilikuwa nna flirt na Rose1980 lol na nilisema Crapp!!l! nway i was soo disappointed!! :thumb::thumb: Thanx JF!
 
Back
Top Bottom