Nimedownload Flash player lakini picha hazichezi

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,251
Wadau laptop yangu haichezeshi picha za youtube,hivyo kunifanya kushusha clips mbalimbali kutoka Youtube,nimedownload Adobe flash player na kuinstall lakini wapi,naomba msaada kwa wanaofahamu,nashindwa kupakua vituz kutoka Youtube,pamoja na kuwa nina IDM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom