Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook

Yaani nijinsi gani mpaka mmefikia hatua ya kkutana kma wapenzi daah inasikitisha sana kua umewazalilisha wanawake wa ktz sound m1 mtoto umelainika,jamaa kaona wa tz mabwege kweli!..we unajuaje kma anakupenda kwakua ni mghana?..
 
Kukuambia ukweli, lazma umjiboost kuwa uko na kazi and so and so...kwa hyo anakuja kuangalia km ni kweli akikuta mambo safi jiandae kuwa ATM, rafiki yangu alishafanya ki2 km iko na kilimgharimu sana. Kuwa macho, wanaume na wanawake west afrika wako after what u hv...!
 
Nikushukuru kwa kuwa muwazi kth hili mkuu kwani ni wachache sana ktk wengi wasemao ukweli! Ni mara kadhaa sasa kusikia haya so sina shaka juu ya kutokea kwa hili. Nakushauri uendeleze mahusiano nae coz mwanzo wa mapenzi/mahusiano hauna formula, ni swala la kihisia zaidi so go ahead dada bt mchunguzane kitabia na kimienendo yenu kucheck km mwaendana!
 
WaGhana Nigeria wengi matapeli na dada zetu wengi wamekuwa wakitapeliwa bila kujijua hasa wale wanaoenda kusoma nje. Ogopa sana watu wao utalia
 
Mhh! We ni mwongo wa mapenzi! Yaani unataka kumwacha boyf wako kisa jamaa wa facebuk? Hey! Acha hizo!
 
+3jfhyC21ViWSiLWgFnRa
...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF

Wewe Flovans, ulimvyompata huyo wa Kitanzania ulikuja hapa kuomba ushauri kabla hujamkubali?? kuna vitu vingine ni bora kufanya maamuzi mwenyewe, kimya kimya tu.

Unataka umuache huyo wa Kitanzania kwa kosa gani? usikurupuke katika hili. Unaweza kukuta huyo mGhana ni player tu na wala hutamuona akitia mguu kwako.
 
Abegwoo abegwoo chinekee all dem people are doin fine ohooo, i got no moniii to go Ghana ohooo talk to papa and broda to talk to my sistoo to send me moniii i want to go to Ghana and Abuja i have seen some beautiful Ghana women tell papa to send me moniii plz abegwoo abegwoo

hey onkokooo wat is ths now ohhhh...you are tellng me practically to send u to anaza gel....infact the cast one from ghana?.....ohh brazaaa ova ma ded body yoooo i wont do dat....

ehh incheme ..wor out ohh i wl send emeka to give u some naira and fasta u should go to songea...infakt peramiho to collect a beautfull woman by the name of KADALA....EHH no wonderr ohh our aunt inn ngoz is there to take u there....

m just finalizing my popa wek..here in lagos after 2days i wl go to naija....!!!

c u

Aiseeeeeee!!
 
D5XOdk4w71pVAAAAAElFTkSuQmCC
Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya upole,tumebadirishana historia za mapenzi yetu na kuaidiana kutembeleana soon...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF

Dada Flo
Najaribu kutafakari afta 2 months na mghana ambaye umegundua yuko sawa na huyo m-tz kitabia, than akakutokea Mfaransa ambaye kajitambulisha ni President wa Kampuni fulani kule Paris, sijui utamtosa mghana??
Then baadae akaja, M-Brazil, Mjerumani, Mrusi, . . . . . daaaah utakuwa umetalii vya kutosha sana!
Sijui unaelewa nataka kukufikishia ujumbe gani . . . . .

Wake UP Ladies . . . .. !!!
 
Nikushukuru kwa kuwa muwazi kth hili mkuu kwani ni wachache sana ktk wengi wasemao ukweli! Ni mara kadhaa sasa kusikia haya so sina shaka juu ya kutokea kwa hili. Nakushauri uendeleze mahusiano nae coz mwanzo wa mapenzi/mahusiano hauna formula, ni swala la kihisia zaidi so go ahead dada bt mchunguzane kitabia na kimienendo yenu kucheck km mwaendana!

ok Gagurito
asante...
 
Kama unataka ht kufanya utalii ujiandae kwa hy nchi mpende jamaa yako acha wenge kwa vìzungu na hy profile yk
 
Nakushahuri SANA usiachane na mpenzi wako, usiendi Ghana kumuona. Hakikisha yeye anakuja kukuona ulipo sababu ni familiar groung. Akae wiki kadhaa, umsome. Kama unaweza muombe kukutana na ndugu zake kadha online. Kama alikwambia alisoma shule fulani ao University fulani tafuta jina lake kwa old students. kama anafanya kazi jaribu kucheki ni campuni gani. kwenye face book ingia kwa relations zake uwaone wamekaaje.
Be VERY cautious.

Dadae eeh! yote ya nini ya old school ili iweje? We mwanadada unawahafahu watu wa WEST AFRICA au unashoboka tu na hizo facebook zenu?? Nahis una wazimu kama siyo kichaa. Kaa na huyo boyfriend wako wa kibongo anatosha, hizo tamaa nyingine za kupigiana simu achana nazo hazikusaidii kitu wewe.

Ni ushauri tu tena wa bure! ukitaka kuprove ninachokwambia mkaribishe.
 
Dada Flo
Najaribu kutafakari afta 2 months na mghana ambaye umegundua yuko sawa na huyo m-tz kitabia, than akakutokea Mfaransa ambaye kajitambulisha ni President wa Kampuni fulani kule Paris, sijui utamtosa mghana??
Then baadae akaja, M-Brazil, Mjerumani, Mrusi, . . . . . daaaah utakuwa umetalii vya kutosha sana!
Sijui unaelewa nataka kukufikishia ujumbe gani . . . . .

Wake UP Ladies . . . .. !!!

hahahaha........cshobokei watu weupe....na wala cshobokei kuongea kizungu coz nami nakitafuna kama karanga.....ni suala la moyo tu my dear
 
Ki ukweli wadada wa kibongo tuko very desperate na ndoa, pale anapokuja mtu akakusoma akakkujua vizuri anakuja kwa gear hiyo hiyo ya kuoa. Sasa kama siyo mjanja unaishi kulia machozi tu, umeshalalwa na humuoni tena.

Wanawake ebu tufunguke macho tuache tamaa za kishenzi, pale tunapopendwa hatutaki, tunapodanganywa tunastic. Tuombe Mungu jamani atutie nguvu na kutupa waume wema vinginevyo tutakaribisha mauzauza kwenye maisha yetu!

Glory be to GOD.
 
flovans usitumie moyo tu jaribu kushirikisha na ubongo wako pia. Mara nyingi kwenye mapenzi tunatumia moyo zaidi hata bila kufikiria na matokeo yake huwa majuto mara nyingi...

Hakuna anayependa kuumizwa kwenye mapenzi, hatua ya kwanza kuzuia hilo kuwa mwangalifu sana
 
32
Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya upole,tumebadirishana historia za mapenzi yetu na kuaidiana kutembeleana soon...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF

Alete mahari kwanza na JF utualike tukishapokea mahari kula ki2 roho inapenda.
 
west africa boys and girlz ni watata, yani huyo mdada kaliwa.

Natabia ya kuchat sana,kuna mgana aliwatapel wamaerekani wa2 hela walim2mia hela za kwenda state,na akaenda sehemu nyingne ya state sio kwa m1 kati Ya waliompa hela,ila walikuja kumkata kwa msaada wa polisi.

Wewe mtoa Mada ni pm au nipe namba zako nikuokoe mana unapotea uku wajiona.
 
Back
Top Bottom