Nimedanganywa mara tatu!

pole sana! nadhani sasa kuna kila sababu ya wewe kuwa makini, ucpende kuwaamin watu kirahisi, sisi wanaume ni wajanja sana, twajua vyema kucheza na mdomo! Mwombe Mungu akusaidie kusahau na kufungua ukurasa mwingine wa maisha yako. Pole sana!
<br />
<br />
huo sio ujanja ni uboya na kama na we upo hivyo we ni boo?....'sema boya'
 
pole, i think u need Jesus, mpokee yesu katika maisha yako, and then from him u will get good destination of your life, Jesus Loves you,
 
kwa sababu umeomba usitukanwe,basi nakuacha ila tafuta pesa na sio wanaume
 
hao wanaume wako unawapatiaga wapi? kuna mazingira ambayo ukimpata mwanamke/mwanamme huko, chance ya mahusiano kudumu inakuwa ya mashaka mashaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom