Nimedanganywa mara tatu!

Ndugu zangu naomba msaada katika maisha yangu nimedanganywa mara nyingi lakini mara tatu nimefanywa mjinga hadi najiona sifai

1.nilidanganywa na mwanaume akanizalisha akaniacha

2.nilipata mwanaume mwingine akanitapeli kumbe ana mke na watoto

3.nilikutana na mume aliyenizalisha akaahidi kunisaidia kutunza mtoto kibaya mazingira yalinifanya nishirikiane nae kanitosa tena
chonde naomba msaada wa mawazo lakini msinitukane mtazidi kuniumiza
Pole ndugu yangu hayo matatizo yana wakuta watu wengi, muachie Mungu na uweke mazingira ya kutokudanganywa tena, mimi mwenyewe kuna mshenzi mmoja sitakuja kumsahau maishani, amenifanya kitu mbaya zaidi ya mara mbili:-
1. Aliniambia ni mpigie kura awe kiongozi wangu, atafanya maisha bora kwa kila Mtanzania, basi bila kufikiria nikampigia kura, si ndo kwanza akaingia madarakani kula kodi yangu na maswahiba wake
2. Baada ya miaka mitano akaniambia kipindi chake cha miaka mitano alikuwa anajifunza uongozi, kwa hiyo nimchague afanye kazi kwa ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi, nikampiga chini, hii haikusaidia kumbe alikuwa amejipanga vilivyo na tume ya Taifa ya uchaguzi kwa kutumia udhaifu wa katiba akarudi tena madarakani japo sitaki awe kiongozi wangu, kwasasa nataka nisidanganyike tena nakomaa ipatikane katiba mpya

Ndugu zangu naomba msaada katika maisha yangu nimedanganywa mara nyingi lakini mara tatu nimefanywa mjinga hadi najiona sifai

1.nilidanganywa na mwanaume akanizalisha akaniacha

2.nilipata mwanaume mwingine akanitapeli kumbe ana mke na watoto

3.nilikutana na mume aliyenizalisha akaahidi kunisaidia kutunza mtoto kibaya mazingira yalinifanya nishirikiane nae kanitosa tena
chonde naomba msaada wa mawazo lakini msinitukane mtazidi kuniumiza

pole sana mama mkubwa ndio ukubwa huo..

by fake eyes,u mean fake eye lashes? LOL! vitu vya kuhuzunisha ila umenifanya nicheke...
okay girl u gat fake nailz,fake eyez,fake hair,fake ass.....n u expect to get a real man!!!!!!dream ova!!!!

tubadilike na sie, tusilalamikie sana wanaume

Jamani kuna watu wanachekesha sijapata ona, yaani miaka mitano ukampa kura yako? tena miaka mingine? aaah: Ok, back to ze topic; mi ni kidume cha mbegu mwaya ila nakusihi sana maisha yako usiyaweke ubia kwa mwanadamu, kuwa wewe mwenyewe if you fail or succeed bt at least you have tried to live your drim, maisha si mwanamme wala mwanamke japo inauma angalia mbele no future in da past, kuwa na mtoto ni jambo la kushukuru wenzio wanatafuta sana hawaoni! AIDS ipo shukuru kakupa mtoto pekee! Be blessed

asanteni kwa ushauri hasa yasmin, luvesho na red devil. ezan umeniacha hoi. kuhusu wanaofokiri sina akili nasikitika sana maana kama wao hayajawakuta wasifikiri kwamba wana kinga kwamba hayatawakuta.kuhusu bujibuji naona ni walewale.

okay girl u gat fake nailz,fake eyez,fake hair,fake ass.....n u expect to get a real man!!!!!!dream ova!!!!

tubadilike na sie, tusilalamikie sana wanaume

Sara ninakubaliana na maoni yako. Bahati mbaya sina kitufe cha like. I hope you are not just talking the talk but you are also walking the talk.

okay girl u gat fake nailz,fake eyez,fake hair,fake ass.....n u expect to get a real man!!!!!!dream ova!!!!

tubadilike na sie, tusilalamikie sana wanaume

Sara ninakubaliana na maoni yako. Bahati mbaya sina kitufe cha like. I hope you are not just talking the talk but you also are walking the talk.

Nninaunga mkono ushauri wa maana wote uliopewa na wana JF. Ila usipuuze hoja za wale ambao maneno yao hayakukufurahisha. Naomba unisaidie kidogo: unaposema mwanaume alikuzalisha una maana gani? Mimi nadhani ulikubali kwa hiyari yako mwenyewe na hivyo mlizalishana. Labda kama huyo jamaa ni daktari ambaye anazalisha wajawazito.

Ndugu zangu naomba msaada katika maisha yangu nimedanganywa mara nyingi lakini mara tatu nimefanywa mjinga hadi najiona sifai

1.nilidanganywa na mwanaume akanizalisha akaniacha

2.nilipata mwanaume mwingine akanitapeli kumbe ana mke na watoto

3.nilikutana na mume aliyenizalisha akaahidi kunisaidia kutunza mtoto kibaya mazingira yalinifanya nishirikiane nae kanitosa tena
chonde naomba msaada wa mawazo lakini msinitukane mtazidi kuniumiza

Usiitumainie akili yako katika mambo nyeti kama haya, utaishia kumkufuru Muumba wetu.
My take,

Invest on God, achia matatizo yako pale yeye atafanya yaliyobaki. Binadamu ndivyo tulivyo, kupata perfect couple ni Mungu tu aweza kukufariji.

Pole sana.

Ndugu zangu naomba msaada katika maisha yangu nimedanganywa mara nyingi lakini mara tatu nimefanywa mjinga hadi najiona sifai

1.nilidanganywa na mwanaume akanizalisha akaniacha

2.nilipata mwanaume mwingine akanitapeli kumbe ana mke na watoto

3.nilikutana na mume aliyenizalisha akaahidi kunisaidia kutunza mtoto kibaya mazingira yalinifanya nishirikiane nae kanitosa tena
chonde naomba msaada wa mawazo lakini msinitukane mtazidi kuniumiza

Kabla ya kukushauri yaonekana wewe ni rahisi mno. Tafakari chukua hatua...
Ushauri: 1. Usitumie matatizo uliyonayo kukubali wanaume ovyo kwa lengo la kuyapunguza
2. Kama huna kazi nenda shule ya ujasiriamali upate ujuzi wa biashara ujitegemee na ulee mwanao
3. Nenda ustawi wa jamii watakusaidia namna ya huyo mwanaume kuchangia malezi ya mtoto
4. Ogopa sana wanaume wa sasa, hakuna anayependa mizigo(watoto wasio wake) atakuchezea tu na kukuacha
5. Hapo ulipo yaonekana kiwango cha urembo kimeshuka kiasi, wanaume watapenda kukidhi haja zao za haraka na kusepa
hivyo usipoangalia utajikuta DADA POA bila kutarajia mwisho wakuachie ukimwi
6. Jaribu kujichunguza tabia zako yawezekana una kasoro zinazopelekea wapenzi wako kukukimbia, ukiwa fit hata mwenye mke
atakun'gang'ania tu
7. Sisi wanaume wa siku hizi tunatumia gia ya kuoa ili mtukubali haraka kwani tumefanya utafiti na kugundua wanawake wengi
hawawezi kuruka hiki kiunzi. baada ya kupata ladha ya mzigo maamuzi ya kuendelea au kuacha yanafuatia. Kuwa mwangalifu.
8. Kama hayo hayatoshi ni PM kwa ushauri zaidi

asanteni kwa ushauri hasa yasmin, luvesho na red devil. ezan umeniacha hoi. kuhusu wanaofokiri sina akili nasikitika sana maana kama wao hayajawakuta wasifikiri kwamba wana kinga kwamba hayatawakuta.kuhusu bujibuji naona ni walewale.
hAYA pole ndugu na mimi nina wadada na mabinti

bas basi basi.....pole dada...basi yaishe...dunia hii ina mambo....

Pole mwaya,ila jaribu pia kujichunguza usije ukawa wewe ndio unawa drive away bila kujua. Narudia kukupa pole ila move on with your life for your child.

Miaka hii tunayoitazama mbele yetu, ni miaka makini kwa watu makini . Wakati ambao nchi tulizoziita zimeendelea, leo hii wamenasa kwenye mtego wa kutokujua "what next." ni nafasi pekee kwa nchi za Kiafrika sasa, kupenya na Kuongoza mapinduzi ya sayansi, uchumi na siasa za Ulimwengu. Kwa hiyo basi, tunadhani ni wakati muafaka sasa kwa majukwaa mengi ya maoni changanuo, kama JF kuwa na threads kutoka kwa wazalendo wanaojulikana.. Nikimaanisha kila anayediriki kutoa maoni yake kwa jamii ya watanzania na nyinginezo, kuwe na ratibio (conditions) zitazomlazimu kuonyesha ama facebook page yake, blogs, twitter au tovuti yake, kiasi kwamba kila asomae threads zake, awe na uwezo wa kutembelea kurasa zake nyingine mtandaoni. hii itaondoa kero ya mara kwa mara kwa wachangiaji wa maada na wasomaji. Kuna wale ambao hujisajili mara moja tu kwenye majukwaa haya, na kutoa maoni yao, ama uongo, ama sumu, ama hoja zisizo stahimiliki. Hii itatunza heshima za majukwaa yetu haya ya maoni na kuwa kambi za watu makini na si kambi za mchanganyiko wa watu makini, wachafuzi, waharibifu, wasumbufu na maholela.

Similar Discussions

Back
Top Bottom