Nimechokaaa!

Mwenyekiti huwa anapewa fedha ya bajeti ya vinywaji, na baada ya hapo ndiye anayesimamia urudishwaji wa chenji kama ipo. Upo hapo, tehetehetehetehetehetehe...... Hapa nilipo nimetoka kurudishiwa chenji ya vinywaji vilivyobakia jumamosi, Charminglady ningefurahi kama leo tungezitumia wote bana.
 
Back
Top Bottom