Nimechokaaa!

Hapo umenena swithat........sisi harusi yetu tutakuwa Wewe,Mimi na Mchungaji basi....atakayetaka kuja alipe kiingilio
 
hamjamboni wanaCC
dah, wakati watu tuko kwenye kampeni ya TOKOMEZA MICHANGO YA HARUSI, SEND OFF NA KITCHEN PARTY mwingine anaibuka kukuomba mchango wa birthday! jaman jaman jaman maisha yenyewe magumu!!

Mtalaka wangu upo? Nimekukosa sana, nasikia kuna bazazi limekuweka ndani siku hizi...
 
hamjamboni wanaCC
dah, wakati watu tuko kwenye kampeni ya TOKOMEZA MICHANGO YA HARUSI, SEND OFF NA KITCHEN PARTY mwingine anaibuka kukuomba mchango wa birthday! jaman jaman jaman maisha yenyewe magumu!!
charminglady jana dada mmoja mpendwa katika bwana kaniletea kadi ya kparty na send off
Mchango Kparty 50,000.00 ha nikajiuliza hapa naenda kunywa nini jamani sherehe ukumbi ni kanisani..kinywaji chetu vyoda ..napata tabu kuelewa kwa nini mchango mkubwa hivo.....................?
send off 50,000.00 yaani lol watoto hawatasoma..:happy:

Inabidi Kampeni ianze kupinga michango isiyoeleweka
 
Last edited by a moderator:
pole FirstLady1 yan cjui ni lini watanzania tutakuwa km jiran zetu wakenya. wenyewe huitisha harambee kwa ajil ya kumgharamia mtu akasome bt wabongo tunafikiria kula na kunywa tu!
 
Last edited by a moderator:
acha misifa, ni watoto wangapi yatima unaowasaidia? Au mpaka uombwe?kutoa ni moyo

Sidhani kama it's my duties, kukupa wewe taarifa, au kufungua thrade ya kua'announce hapa nikishasaidia maeneno hayo uliyoyataja.
Hapa nime'comment kutokana na contents za mleta mada kuongelea yafananayo na "aid demand"
 
mbona vituo vya watoto yatima vingi sana,kuna kile kituo cha kulea wazee nacho kinahitaji wallet yako iwasaidie,mahospitali kuna wagonjwa wanahitaji hizo pesa zako walipie matibabu coz hawana hata senti tano.:der:

Unajuaje kama huko sisaidii ? Au ungependa kila pale nnaposaidia huko niitishe habari maelezo ? (waandishi)
au nikisaidia kule siruhusiwi kusaidia kwengine?
 
yan nataman nikajifiche cjui wapi. afu ukizingatia ni jiran nyumba ya pili. cwez kukwepa.me b-day yang july watachangaje
https://www.jamiiforums.com

kama hauna hela simply si unasema tu,au hao nduguzo ni ving'ang'anizi?
 
Mimi huwa nachangia kwa sharti moja tu, lazima nipewe kusimamia kamati ya vinywaji.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom