PEA
Member
- Dec 31, 2010
- 77
- 33
anatafuta huruma na visisngizio vya kukimbilia kwa hiyo mijamaakama unataka kuachana naye na kwenda kwa hiyo minjemba mingine inayokumendea si uondoke tu? kwa taarifa tu, kila mtu ana weaknesses zake; so, get prepared!