nimechoka na huyu mume msaada

davina

Senior Member
Jan 21, 2012
113
87
Naomba msaada..ni mume wangu nina miaka saba nae some how hajatulia lakini kwa kuwa me ni mwanamke mpambanaji maisha yaendelea kiubishi..yupo mkoani kikazi toka jana usiku saa tatu kazima simu hajanitafuta simu zote hazipatikani mpaka sasa najua yawezekana pia kapitiwa mambo mengi kasahau kuiwasha asubuhi au hazina charge lakini pia huwa siyo mtu wa kucare sana mawasiliano ya family hasa akisafiri..

Pamoja na sababu yoyote atakayonipa nataka niweleze kuwa nimechoka kuishi kwa wasi wasi coz kazima simu nitajuaje kama kapatwa na matatizo au ni mzima?

Hii hali imenichosha na ndiyo kawaida yake sa naona naishi kwa wasi wasi coz of him. Namweleza kuwa bora nirudi nyumban kwetu nikamwombe baba yangu aniendeleze kielimi am tired with this stupid life mwanaume hapendeki anataka roho yangu

Kuna wakati huwa nampotezea kabisa sijishughulushi kumpigia simu lakini sasa mwenzangu habadiliki
 
Uvunje ndoa sababu ya simu????
Haya kila mtu ana yake anayoweza kubeba.

Hebu kapate juisi mahali kichwa kitulia kwanza ndo urudi kwenye kiibodi
 
Mh Siamini kama ni kweli unavunja ndoa kwa hili tu. Ni kweli afanyacho si chema na ni kweli huo ni wivu unaokusumbua kwa kuwa wampenda. But inaonekana kama umepata pengine panapokufariji zaidi ya huyo. Kabla ya kuvunja ndoa kwa sababu hizo ulizotaja fanya due diligence kuhusu huyo anaetaka uvunje ndoa usije kosa mwana na maji ya moto
 
Seven years of marriage unataka uvunje ndoa kisa simu
Hebu nenda kapate juice ya passion mahali utulize kichwa uje hapa utueleze linalokusumbua na sio hili
Ahhh hizi ndoa hizi
Hivi wakati hakuna simu babu zetu walipokuwa wanasafiri walikuwa wanawasiliana vipi na bibi zetu kuwajulisha kuwa wako salama
 
Mleta hoja siyo mkweli.
Ni kisa cha kutunga wala akina maana yoyote,
Ukiangalia sentesi ya pili kutoka mwisho unagundua kuwa siyo mwanamke uenda jamaa kakubwaga.
 
Asitake kuumiza roho hata kidogo.
Tafuta kipoozeo chako hapa mjini jamaa akirudi mwaendelea kama kawaida.
Maisha mafupi haya stress za nini?
OTIS
 
Seven years of marriage unataka uvunje ndoa kisa simu
Hebu nenda kapate juice ya passion mahali utulize kichwa uje hapa utueleze linalokusumbua na sio hili
Ahhh hizi ndoa hizi
Hivi wakati hakuna simu babu zetu walipokuwa wanasafiri walikuwa wanawasiliana vipi na bibi zetu kuwajulisha kuwa wako salama

Mkuu si umeona? hata mimi nimeshangaa! cm tu? labda ana jingine nyuma ya pazia, ajaribu kuliweka wazi watu wamsaidie!
 
Hivi vijimwanamke mayai ni vya shida kweli kweli . Wewe miaka saba umeishi na mme wako hujakubali mapungufu yake, kwani unakotaka kwenda kwa huyo anayekudanganya unamfahamu , balaa kabisa hawa wanawake wa sasa hivi, ni mboga kabisa yani hawafikiri kabisa hata kidogo wanawaza starehe tu kila wakati , kwao kupewa taraka wanaona ndiyo suluhisho la matatizo, kalale kama masaa mawili ili mbege iishe kichwani naona inakupeleka pabaya
 
Dah..hapa kapatikaba npigia ile anapokea tuu.kaanza kuna kitu kinanchanganya h hivi ile laptop uliyonitumia uliweka kebo ya umeme mbona kama siioni..cjamjibu nkakata cm kapiga sipokei nahisi me nakuwa mtumwa ukizingatia midume kibao yanimendea hyu namheshimu lakn ataka kunipa presha dah
 
pole sana mtoa mada inaelekea hili suala linakuumiza sana ,kwanza upo mkoa gani ili hata nikutafute
unahitaji kanseling ya hali ya juu,ndo iliyokomaa kama hiyo inahitaji kuboreshwa tu na sio kuwa na mawazo hasi kiasi hicho
 
Dah..hapa kapatikaba npigia ile anapokea tuu.kaanza kuna kitu kinanchanganya h hivi ile laptop uliyonitumia uliweka kebo ya umeme mbona kama siioni..cjamjibu nkakata cm kapiga sipokei nahisi me nakuwa mtumwa ukizingatia midume kibao yanimendea hyu namheshimu lakn ataka kunipa presha dah

Kaaazi kweeli kweeli!!
 
Hivi vijimwanamke mayai ni vya shida kweli kweli . Wewe miaka saba umeishi na mme wako hujakubali mapungufu yake, kwani unakotaka kwenda kwa huyo anayekudanganya unamfahamu , balaa kabisa hawa wanawake wa sasa hivi, ni mboga kabisa yani hawafikiri kabisa hata kidogo wanawaza starehe tu kila wakati , kwao kupewa taraka wanaona ndiyo suluhisho la matatizo, kalale kama masaa mawili ili mbege iishe kichwani naona inakupeleka pabaya
Sijatumia mbege hapa nipo ofisini.alafu wew unarahisisha tuu.ungekuwa ni wew ungejifil vibaya sifikirii starehe.kwa hiyo mume kuamka nakumpigia simu mkew kujua kaamkaje ni starehe?
Any way am gona tired
 
dada tulia usipaniki kwa mambo madogo hivyo! cha kwanza kabisa kumbuka ni ww ndo ulimwomba mungu akakupa mume ,mka zaa nae ,tena mmekaa miaka saba kwenye ndoa, dada kaa chinina utulie umwombe mungu amrekebishe kuacha na mume wako sio solution. kaa na umuulize munu na kumwelezea haja ya moyo wako atamrekebisha tu, na atarudi kama mwanzo lakini usiachane nae my dear!
 
Dah..hapa kapatikaba npigia ile anapokea tuu.kaanza kuna kitu kinanchanganya h hivi ile laptop uliyonitumia uliweka kebo ya umeme mbona kama siioni..cjamjibu nkakata cm kapiga sipokei nahisi me nakuwa mtumwa ukizingatia midume kibao yanimendea hyu namheshimu lakn ataka kunipa presha dah

Kama hata salamu hakupi basi mna tatizo zaidi ya mawasiliano ya simu.
 
Davina inawezekana there is more to this than maelezo ulotoa.... Wanadamu watofautiana saana kitabia, na moja ya hio tabia ni kuonesha ni kwa kiwango gani ajali kuhusu familia. Sio wanaume woote wapo that caring kwa familia zao, but haina maana kua hawana Mapenzi na familia zao (iwe mke ama watoto). Mwenyewe usha kiri kua hayupo caring kwa familia toka kipindi.... kwa maneno mengine ni hio kuzima simu na kutojali ni kawaida yake....

However kuna maswali ya msingi ya kuuliza hapa maana wanawake twatofautiana ku define caring..... Unaposema hayupo caring ni sababu tu akutafuti kwenye simu ama sababu hatimizi pia responsibilities zake ndani ya familia? Angalia tabia yake kwa mambo mengine (nje ya the so called caring) katika ndoa yenu ipo vipi.. Na zingatia pia kua kuishi wanadamu pamoja ni kazi saana hivo wanandoa kuna wakati hua wanapita unaitwa "Rut stage" yaani mnakua mmechokana mpaka baaas! to the extent msipoangalia mwaweza vunja ndoa kizembe kabisa. Nakushauri kua hilo wazo umeamua liangalie/tafakari kwa undani before moving forward.... Nakutakia kila la kheri katika kutatua tatizo lako....
 
pole sana mtoa mada inaelekea hili suala linakuumiza sana ,kwanza upo mkoa gani ili hata nikutafute
unahitaji kanseling ya hali ya juu,ndo iliyokomaa kama hiyo inahitaji kuboreshwa tu na sio kuwa na mawazo hasi kiasi hicho[/
QUOTE]
Mie nipo dom mpendwa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom