Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba

Labda nikuulize swali,kama vijana umewachoka wanakudanganya,je hilo jibaba unalolisema ndio halitokudanganya,maana jibaba hilo lina mke wake nyumbani,na wewe atakutumia tu,mwisho wa siku haendi na wewe popote.si bora vijana anaweza akabadili mawazo na kuoa.Kwa hilo jibaba labda ukubali uke wenza.
 
duuuuuu dada anu wazeee sio dili kwani ujana wake amekula na nani? tafuta kijana mwenzako. usogope fungukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).

Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha.

Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.
Njoo kwangu, i'm serious japo unanizidi ivo ivo
 
Daa mie naye huku naumia natafuta mke yani mi taharukii.Nimetendwa mpaka najiona sina thamani
 
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).

Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha.

Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.
Dah ila bs t nilikuwa sikusoma vigezo vzr, mimi napenda mazoezi ya viungo ila kuhusu mamno ya elimu sijui dini huko ndiko kumenifelisha although wallet imetuna
 
Mbinguni utapaskia tu..

Umeamua kufukua kaburi la yule aliyeleta uzi wa kusema yeye anagegedwa na mjomba wake.
Sa' mjuba si aneleweka kilio chake ni true love, so vijana wenye true love tupo na ndo mnasemaga tupo wachache, sema kunabaadhi y vigezo vimenipiga push
 
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).

Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha.

Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.

Hivi bado unatafuta au tayari ?? Maana mimi ninatimiza miaka 40 wiki ijayo. Tuchekiane Mkuu nataka Mtu wa kufarijiana
 
Awe na degree, awe amewekeza, awe na 40--50, awe anayfanya mazoez, nk
Hatuna Nia mbaya na wewe dada ila unaonekana upo kimaslah sio mapenz wala mwenza,

Ndio maana hata Hao vijana wame ISHIA kukucha kwakuwa wewe mapenzi kwako sio kipaumbele Bali ni pesa,mali, na starehe kwa mtazamo huu wanawake mna kwama Sana hata kama una uzuri kiasi gani wanaume hawako tayari kuwa na mtu WA dizain yako kimaisha ila kingono na starehe utawapaata wengi Sana
 
duh kwa ss ana miaka 37 anapona kwa mjomba wacha kazi iendele
tunaomba mrejesho wa vibaba kwakua vijana ndio tunaelekea kua vibaba
 
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).

Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha.

Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.
Unataka jibaba? Au hata kibaba?..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom