Nimechoka Basi!!...

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,958
6,075
Nimechoka basi

Nina Mpenz na mda mrefu naye kama miaka 6 hivi lakini kwasasa nimechoka.. sababu ziko nyingi lakini kubwa zaidi nikunitishia kuvunja uhusiano kama kunakitu kaniomba ni meshindwa kumtimizia.. nimeshaa kaanaye mara nyingi kumwambia lakini habadiliki kabisa na hiyo inasababishwa kwasababu anajua nampenda sana amefikia hatua ananiambia nisimtafute mpaka atakapo amua yeye kunitafuta,inapita mwezi nashindwa kuvumilia namtafuta ilituyamalize anakubali lakini siku tukitofautiana kidogo ananiambia kwani nilikuomba unitafute!

Nimechoka na matendo yake natakakumwacha lakini kwa kusema kweli nampenda sana naomba ushauri wenu njia ya kumsahau kabisa...
 
mbona kusahau ni jambo rahisi tu...
mara nyingi mwanamke au mwanaume akiwa na majibu ya namna hiyo ujue kashapata mtu mwingine au hana future na huyo aliyenaye...
binafsi sina la kuongea zaidi ya kukwambia fuata hisia za moyo wako
 
Mwanaume unaumia kiasi hicho usikute ukiwa mwenyewe huwa unaliaga wewe.Kamata kikuku kichinje wewe uone utakavyonenepa wamejaa namna hii unaumiza kichwa dahh wanaume tunatofautiana sana aisee
 
Miaka yote hiyo hujawahi kupata mwingine wa kukupoza moyo? Ni mwingine tu atakayekuponya na kukurahisishia kazi ya kumsahau huyo asiye na huruma.
 
Nimechoka basi

Nina Mpenz na mda mrefu naye kama miaka 6 hivi lakini kwasasa nimechoka..
sababu ziko nyingi lakini kubwa zaidi nikunitishia kuvunja uhusiano kama kunakitu kaniomba ni meshindwa kumtimizia..
nimeshaa kaanaye mara nyingi kumwambia lakini habadiliki kabisa na hiyo inasababishwa kwasababu anajua nampenda sana
amefikia hatua ananiambia nisimtafute mpaka atakapo amua yeye kunitafuta,inapita mwezi nashindwa kuvumilia namtafuta ilituyamalize anakubali lakini siku tukitofautiana kidogo ananiambia kwani nilikuomba unitafute!
Nimechoka na matendo yake natakakumwacha lakini kwa kusema kweli nampenda sana
naomba ushauri wenu njia ya kumsahau kabisa...

Tafuta msichana mwingine uwe bize nae alafu usiwe unampigia simu
 
ni PM tuzoeane afu 2tapendana na kuwasahau wapenz we2 wanao2datisha namna hii.
 
we ni me au ni ke kama ni ke basi pm hapa tutamaliza hii kitu
na uko mkoaa gani ?
 
jifikilishe mambo mengne wala usiruhusu kumfikilia hata chembe....akija akilini piga chini fasta na anza kujifikilisha mfano...foleni za magari dar, watu wanagombania kupanda daladala, then fikili kama vile uko kwenye foleni ya NMB....Gradualy cku itaisha na utamsahau
 
hakuna jambo gumu kama penzi la upande mmoja.....
Piga moyo konde........
Kwa nini mtu mzima mmekutana wote mna meno 32 akusumbue? Kwani umezaliwa nae?
Jipe muda utamsahau...
Mambo gani hayo ya kuendeshwa kama gari bovu?
 
mbona kusahau ni jambo rahisi tu...
mara nyingi mwanamke au mwanaume akiwa na majibu ya namna hiyo ujue kashapata mtu mwingine au hana future na huyo aliyenaye...
binafsi sina la kuongea zaidi ya kukwambia fuata hisia za moyo wako
Ahsante nitafuata lakini ujanipa njia za kumsahau..
 
Anakuchezea hisia zako huyo tena na hatari sana kukaa katika mahusiano ya namna hii maana maumivu yake yanakuathiri taratibu kisaikolojia,tupe kule vuta mwingine fasta.
 
Mwanaume unaumia kiasi hicho usikute ukiwa mwenyewe huwa unaliaga wewe.Kamata kikuku kichinje wewe uone utakavyonenepa wamejaa namna hii unaumiza kichwa dahh wanaume tunatofautiana sana aisee
Kulia jambo lakawaida kwa mtu uliyekuwa na nia ya future naye au wewe hujawakupenda@Mzinga
 
Miaka yote hiyo hujawahi kupata mwingine wa kukupoza moyo? Ni mwingine tu atakayekuponya na kukurahisishia kazi ya kumsahau huyo asiye na huruma.
Nilikuwa na real love naye..,labla baadae awewangu wa maisha.
 
jifikilishe mambo mengne wala usiruhusu kumfikilia hata chembe....akija akilini piga chini fasta na anza kujifikilisha mfano...foleni za magari dar, watu wanagombania kupanda daladala, then fikili kama vile uko kwenye foleni ya NMB....Gradualy cku itaisha na utamsahau
Ahsante Sana.
 
hakuna jambo gumu kama penzi la upande mmoja.....
Piga moyo konde........
Kwa nini mtu mzima mmekutana wote mna meno 32 akusumbue? Kwani umezaliwa nae?
Jipe muda utamsahau...
Mambo gani hayo ya kuendeshwa kama gari bovu?
Ahsante Sana kwakunipa maneno yakunifariji..
 
Anakuchezea hisia zako huyo tena na hatari sana kukaa katika mahusiano ya namna hii maana maumivu yake yanakuathiri taratibu kisaikolojia,tupe kule vuta mwingine fasta.
Nafata Ushauri wako ahsante sana.
 
Back
Top Bottom