figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,490
- 54,884
kumbe ndo wewe. ngoja kesho nikaiangalie pale k/koo karibu na kanisa la kkkt. Mia
Labda nikuulize swali, hivi itakuchukua miaka mingapi kufanya kazi serikalini na kupata zaidi ya milioni 20?
Kwa taarifa yako ukikomaa kwenye Game la Muvi za kibongo, ndani ya mwenzi mmoja unaweza kujipatia milioni zako 20 na ushee?
Wewe una silka za Hayati Nyerere kabisa! yaani bado tu unanishauri niishi maisha ya kudunduliza! Nakuhakikishia mpaka mwishoni mwa mwaka huu mtaanza kunijadili humu jamvini, na wengine mtajifanya ndio mlionishauri kujiingiza kwenye Muvi. it is about time my Bro!na hata ukiamua kufuga kuku au kuwa na bwawa la samaki unaweza pia au?????
Tegelezeni, ulishawahi sikia hadithi ya ushauri wa mwendawazimu ulimuokoa mfalme?
Watu wanakuuliza maswali sababu wanataka kuchangia ushauri wao ambao utachambua yanayokufaa na kupotezea mengine.
Sio attack.
Wewe una silka za Hayati Nyerere kabisa! yaani bado tu unanishauri niishi maisha ya kudunduliza! Nakuhakikishia mpaka mwishoni mwa mwaka huu mtaanza kunijadili humu jamvini, na wengine mtajifanya ndio mlionishauri kujiingiza kwenye Muvi. it is about time my Bro!
anyway..........
nakushauri kitu kimoja kwenye filam......
ukiweza kujijenga na kuanza kutengeneza filam zako mwenyewe
shirikisha wataalam......kuna filam ya Irene Sanga inaitwa KOLELO....
Filam ya kawaida but imejaa utaalam,teknolojia yake inaruhusu kuoneshwa theatre....
Ushauri sio wakati wake, kwanza muitazame Muvi yenyewe kisha ndo mje hapa na ushauri, sasa huyo The Boss ananitaka nikafuge samaki huko Ruvu Kibaha au nikafuge kuku huko Manyoni Singida ananitakia mema kweli!
Filamu hii nimeshirikishwa tu, lakini najipanga nitoke as a solo artist, ngoja nipate mkwanja wa kuigiza filamu hii kisha ndio nitapata pa kuanziakuna kampuni pia inaitwa SAHARA COMUNICATION hivi waone hao pia.....
hapo nimekuelewa, si unaona sasa umekuja kwenye point! nitaufamyia kazi ushauri wako, ngoja tuone hii itapata muitikio gani kutoka kwa wadau!
customer kea kwa wateja ikoje?
Jipige msasa kwenye speech na mahojiano na fans wako.
Filamu hii nimeshirikishwa tu, lakini najipanga nitoke as a solo artist, ngoja nipate mkwanja wa kuigiza filamu hii kisha ndio nitapata pa kuanzia
halafu lazima mjue soko lenu
TITLE za kiingereza mnaweza kweli kushindana na Hollywood?????.....
Kiswahili kina soko Tz,Kenya,UG,DRC,ZAMBIA,Malawi na kwingineko.....
nakushauri mtafute Irene Sanga kwa ushauri.....
filam yake imeoneshwa mpaka Europe kwenye matamasha....
Si yule aliyetunga wimbo wa Mjomba ulioimbwa na Mrisho Mpoto? huyo namfahamu, nimewahi kukutana naye Bagamoyo.
Usijali nikiwa supa staa, nitakuwa na msemaji wangu, sitakuwa na muda wa ku-deal na media!
Wewe kweli aklili zako Mufilisi, nyie ndo tunawaita Ma-Pirates. sie tunaumia kushoot muvi nyie mnasubiri ku-burn na kuangalia bure. ndio maan wasanii wengi hawafaidi jasho laoMimi nitaiburn, naisubiri kwa hamu.