Nimechelewa appointment

Baba, for a lady ni ngumu sana kusubiri mtu akiwa alone. Its uncomfortable kukaa watu wanakuangalia na kuomba kukujoin wakati unasubiria mwenzako aje.
Tatizo kubwa hapo sio kuchelewa, mna communication problem! Ukianza kuona dalili za kuchelewa anza kumtahadharisha mwenzio and keep in touch. Angeamua hata kupita madukani kuliko kwenda kushangaliwa na nzi akikusubiri. Pili uache tabia ya uongo uongo when it comes to keeping time. Yale ya nitakuwa hapo baada ya dk tano, kumbe unamaanisha one hour it doesn't work with ladies, only women and galz will wait. Sema ur true location well in advance. Wish u lucky if there will be a next time.
Kwakweli nilibanwa na shughuli nyengine mdogo wangu Nemo. Ila dakika kumi tu basi ndo akasirike na kuondoka? Yeye alishaniweka sana kama masaa mawili, kwavile bia zilikuwa zinanikampani basi haikuwa shida, sijataka kumkumbusha, ntakwambia siku nikikutana nae atachelewa tu kama kawaida ya wadada, kakosa uvumilivu wa dakika kumi kweli? ten minutes???
 
Back
Top Bottom