Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda nikuambie tu...32yrs bado unalipa saaanaa tu!
Ndeo,ngoja nikupe hesabu za haraka haraka:
Siku moja ina masaa 24 hivyo mwaka una masaa 8760.Tuseme Mungu atakupa uhai hadi ufikishe umri wa miaka mia,at 32 ina maana umebakisha miaka 68 ambayo ni masaa 595,680.Umeona sasa? every minute counts,every hour counts ukiwemo muda unaotumia sasa hivi kwenye thread hii,na muda ni upepo ukipita haurudi.Treasure every moment,don't waste it! unaweza kuamua kuishi kwa ajili ya furaha ya watoto lakini certainly sio kwa ajili ya furaha ya mme kama huyu,he does'nt deserve that priviledge.Hivyo basi:
1.Peleka watoto boarding school ili wasishuhudie valangati.
2.Wakiondoka fanya separation,hamia kwenye nyumba uliyoahidiwa na wazazi,akija kukuharass huko mfungulie RB.
3.Akikusumbua nenda mahakamani uombe order ya kukaa na watoto na kumzuia asije kwako(hii sio kuomba divorce).
4.Baada ya hapo take time uone reaction yake,akibadilika akaacha pombe,uhuni etc then well....
5.Yote kwa yote as of today mnyime unyumba na kesho kacheki HIV.
stay blessed,we love you hear at JF!
Pole sana ndeonasi, hayo ni maisha yatapita tu, madam ni mumeo na mmefunga ndoa kanisani hukulazimishwa na mtu huna budi kuvumilia, usione wamama wamekaa kwenye ndoa zao ukaona wanafanya kazi ndogo, wanapitia mapito makubwa zaidi ya hayo,usichoke kumkumbusha mlipotoka nina imani bado mapema anaweza badilika,kama ukiona huwezi kabisa nenda kwa mchungaji aliyewafungisha ndoa mweleze akupe ushauri
Ndeo,ngoja nikupe hesabu za haraka haraka:
Siku moja ina masaa 24 hivyo mwaka una masaa 8760.Tuseme Mungu atakupa uhai hadi ufikishe umri wa miaka mia,at 32 ina maana umebakisha miaka 68 ambayo ni masaa 595,680.Umeona sasa? every minute counts,every hour counts ukiwemo muda unaotumia sasa hivi kwenye thread hii,na muda ni upepo ukipita haurudi.Treasure every moment,don't waste it! unaweza kuamua kuishi kwa ajili ya furaha ya watoto lakini certainly sio kwa ajili ya furaha ya mme kama huyu,he does'nt deserve that priviledge.Hivyo basi:
1.Peleka watoto boarding school ili wasishuhudie valangati.
2.Wakiondoka fanya separation,hamia kwenye nyumba uliyoahidiwa na wazazi,akija kukuharass huko mfungulie RB.
3.Akikusumbua nenda mahakamani uombe order ya kukaa na watoto na kumzuia asije kwako(hii sio kuomba divorce).
4.Baada ya hapo take time uone reaction yake,akibadilika akaacha pombe,uhuni etc then well....
5.Yote kwa yote as of today mnyime unyumba na kesho kacheki HIV.
stay blessed,we love you hear at JF!
nimechoshwa na habari hizi.......
Bishanga umenibamba
Nakushauri ondoka uende kwenye hiyo nyumba nduguzo wanayotaka kukupatia
You are beautiful, you are young, usikae mpaka ukapata magonjwa ukashindwa kukuza wanao.
Nakushauri ondoka kwenye hiyo ndoa, hakuna unachogain
Sorry blunt but just as Dr Phil would say...tell it as it is...
nimechoshwa na habari hizi.......
nimechoshwa na habari hizi.......