Nimechanganyikiwa Mwenzenu "MKE WANGU ANA JINSIA MBILI"

inawezeka kabisa kufanyiwa opperation na uume kuondolewa kabisa na usijuwe kama ilikuwepo kitu ya kiume hapo na gharama zake hazitishi sana
 
Kaka ata mimi ninae wa dizaini hiyo nipo nae mwaka wa tatu najitafunia taratibu na jinsia yake
ya kiume hafanyi kazi ila kunakipindi inastuaka inasimama ila haina nguvu sana kama ya mwanume kamili
 
Kama ya kiume inafanya kazi cha kufanya unasubiri mpaka isimame halafu unawahi kuivunja huyo sahau kamwe hata simamisha milele utaendelea kupiga kitumbua
Uwe makini asije kukugeuza ukilala jitahidi uwe na bucta ya jinsi.
 
Hawa watoto wana matatizo kweli, yaani amekutana na kisimi kirefu yeye anaona ni jinsia mbili!!?? kweli hawa watoto wana mambo ya ajabu sana.
 
Huyo dawa ni kumpiga chini tu, maana ni mshenzi hakuwa muwazi tangu mwanzo. Alitakiwa akwambie ukweli halisi ili uamue wewe mwenyewe kusuka au kunyoa.

Hata wazazi wake pia wanaingia ktk mkumbo wa kubeba lawama maana walijua na wakakaa kimya bila kusema ukweli. Wazazi wenye hekima wakijua matatizo ya mtoto wao huwa wanaweka wazi ili uamue mwenyewe usije kuwalaumu baadaye.
 
Kumbuka mke mmoja mume mmoja, we unaoa "mke na mumewe" halafu huyo mwanamke ana makosa. kwann hakukuambia mapema kama wapo wawili?
 
Kumbuka mke mmoja mume mmoja, we unaoa "mke na mumewe" halafu huyo mwanamke ana makosa. kwann hakukuambia mapema kama wapo wawili?

Huyo mwanamke hana makosa jamani mwenye makosa ni huyo jamaa kuzubaa mda wote bila kufanya juhudi zozote za kummega kabla hajamuoa
 
alafu unafungaje ndoa kabla hujadumbukiza hata kidole, au alikwambia yeye bado ni virgin?? na usiku baada ya harusi ilikuaje baada ya kugundua ana dual sex organs ulikula mzigo au ulipigwa na butwa kukosa usingizi usiku mzima',,mpige chini huyo, au oa mke mwingine,,,
 
Binafsi nimewahi kuwa na mpenzi mwenye hali kama unayoizungumzia
lakini kwangu halikuwa tatizo maana tuliachana nilipohamia huku DAR na
hatukuwa na makubaliano ya kuoana, kwangu hakuna tatizo ningekaa naye
tu.
vijisenti, huyu wa kwako jinsia zote zilifanya kazi au moja tu?
 
mmh pole sana,kumbuka kiapo ulichokula mbele ya mashahidi, kwenye shida na raha,dhaiki na tabu,ugonjwa na uzima mapaka kifo kiwatenganishe, kwa upande mwingine namlaumu mkeo kwani si mkweli, alitakiwa asikufiche hilo tatizo kuanzia kipindi cha uchumba maana kama ulimpenda kwa dhati ungeshughulukia tatizo, sasa cha kufanya usimlaumu wala usigombane nae, jaribu kutuliza akili ilhali ndo bado changa, nendeni kweny hospitali especially hizi zinazotumia mitishamba mtapata dawa nzuri tu za kumaliza tatizo

nakupa pole sana
 
Kumbuka mke mmoja mume mmoja, we unaoa "mke na mumewe" halafu huyo mwanamke ana makosa. kwann hakukuambia mapema kama wapo wawili?

kweli mwaanamke si mkweli kama anaweza kuficha jambo kama hilo basi kuna uwezekano anaweza kuficha mengi tu
 
Back
Top Bottom