Nimechanganyikiwa,moyo wangu umeongezeka ukubwa upande mmoja.

Mkwanda

Senior Member
Apr 6, 2012
123
14
Jaman kwa mwenye kufahamu vzuri kuhusu tatizo hili naomba anieleweshe vizuri sina amani kabisa.msaada jamani!
 
Usikose amani,wataalamu wapo watakupa maelekezo nini cha kufanya,kuna dawa ambazo utapaswa kutumia na unaweza rudi kwenye normal,sina utaalamu sana wa kitabibu kuhusu hilo ila nina rafiki aliyekuwa na tatizo hilo ambapo baada ya kutumia hizo dawa moyo wake ulirudi kwenye hali yake ya kawaida,pole and don't panic also don't forget to pray for your condition,it's the best cure ever.
 
Vitu vinavyohusu afya yako ni vizuri ukaenda kuonana na daktari kwa ushauri na baadaye matibabu. Si busara unaumwa halafu unataka ushauri JF!
 
Nashakuru sna ndugu yangu stephot nitafanyia kazi ushauri wako MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI.BIGBRO ndugu yangu nimetoka hosp leo vpimo vya awali ndio vmesema hvyo na kama binadamu nimestuka ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom