Nimechanganyikiwa 4 real...

Kuna dem nachat nae na cm..
Kaniambia leo eti sauti yangu nzuri sana maskioni mwake..

Yani uwa anataka niendelee ongea tu
nikimpigia..

Cjui nifanyeje nimekosa
neno la kumjibu...sijawah ambiwa hvyo

Nifanyeje.?

KARIBUNI
Huu uhuru wa kuji express ukizidi huwa unaleta madhara...Sio lazima kuanzisha thread...
 
Yn ulikua unataka msaada gan kwa mfano labda? Manake sauti yako, unaijua km nzur au mbya cie ha2jui, yn nashndwa kuelewa msaada unautaka manake post yko imekaa cjui niseme ni kitoto or smthng like tht,
 
.. pretty n ..ur words are so good..

Ndo love affair hzo...

Ok kama wahisi nina utoto ni PM ukubwa basi ni apply...
Lakin mie si mtoto labda tu nimechelewa.
 
Last edited by a moderator:

Unaonekana una mpenda huyo binti! Mwambie kama unampenda usitegemee atakwambia maana unavyo furahi kuambiwa una sauti nzuri nawe una dhani ata kwambia ana kupenda?

Kazi ni kwako!

Naomba usiwe mvivu wa kuandika kiswahili sahihi
cm? Simu
cjui? Sijui
 
hahahahah.....hureeeee, kwenye mapenzi kuonekana kikatuni mbele za watu siku hizi ni kawaida. Ila kwa mtindo huu ukiendekeza tu kuna siku utakuja kutuambia umemuona kwenye glasi ya maji huyo.......duh!!...mapenzi hisia bwana
 
Kuna dem nachat nae na cm..
Kaniambia leo eti sauti yangu nzuri sana maskioni mwake..

Yani uwa anataka niendelee ongea tu
nikimpigia..

Cjui nifanyeje nimekosa
neno la kumjibu...sijawah ambiwa hvyo

Nifanyeje.?

KARIBUNI

Usiogope dogo ndio ukubwa huo, ndio unakua sasa enhe!!!!! karibu sana ukubwani.......ila huku bwana ni raha lakini pia kunaliza kwelikweli huku........kuna mwenzio mmoja alishikwa akapigwa busu moja tu na msichana, kwa mawenge akapepesuka mpaka akajikuta amegeuka alikotoka hahahaaaaa..............
 
jamaani ameshajieleza vya kutosha toeni maoni afanyaje. kwa kifupi hata kama ni kid anahitaji msaada wenu
 
jamaani ameshajieleza vya kutosha toeni maoni afanyaje. kwa kifupi hata kama ni kid anahitaji msaada wenu

aendelee kumpigia na kumpa story za hapa na pale....ndege ameelekea kunasa kwenye tundu lake, thenmakishamzoea flani amtoe out lunch etc kama kampenda amtongoze akikubaliwa wawe wapenzi ila asisahau kutumia condom kama hawatoweza kusubiri
 
Kuna dem nachat nae na cm..
Kaniambia leo eti sauti yangu nzuri sana maskioni mwake..

Yani uwa anataka niendelee ongea tu
nikimpigia..

Cjui nifanyeje nimekosa
neno la kumjibu...sijawah ambiwa hvyo

Nifanyeje.?

KARIBUNI

ok....relax.....
hebu niambie mie dada yako.....
huyo unaechat nae mna uhusiano wa kimapenzi......?
alikwambia hivyo katika hali gani.......?
wewe ukiwa unaongea nae unajisikiaje....?
ukishajibu haya....tutaendelea.....
 
Kaka zangu na Dada zangu kwanini..mnakua rude..

Ivi mwafikiri natania hapa.

Kumbukeni wengne tumesoma seminari all our educational life..

Guyz!

Umri wa nin.. Im matured.

Si kila unachoshauriwa humu ni cha msingi....chukua kinachokufaa

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
aisee mpaka naandika hii tread nacheka tu hapa ofisini mpaka watu wananiona mwehuuu flani
jf kazi ipo!
 
Endelea kumpigia kumfurahisha!!!km huna crdt mwambie akuwekee ili uzidi kumfurahisha zaidi!!!
 
ok....relax.....
hebu niambie mie dada yako.....
huyo unaechat nae mna uhusiano wa kimapenzi......?
alikwambia hivyo katika hali gani.......?
wewe ukiwa unaongea nae unajisikiaje....?
ukishajibu haya....tutaendelea.....

dada preta shkamoo!
Eti kuna mkaka kaniminyia jicho moja. Maana yake nini, nifanyeje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom