Nimechagua jela ya mapenzi kwa sababu.........

kama ni dada anayejiheshimu hawezi kukubali hiyo dirty game yako!!
No thank you..

anajiheshimu kweli. So what can i do ili nisimkose.
duh![/QUOTE]

wewe unaweza kua na uhusiano wa kimapenzi na ex-girlfriend wa best friend wako?
 
Basi kama kwako inategemea kwa mtu mwenye kujitambua na kujiheshimu hawezi kukubali utamaliza maneno yote ndugu!
 
......ndipo ilipo furaha yangu.
Kuna msichana mmoja kusema ukweli nampenda sana na nshawahi kumwambia ila bado hajanijibu.
Kiukweli nshawahi kuwa na uhusiano wa muda mfupi na rafiki yake wa damu hata uyo msichana alikua anajua,ila baadae tukaachana ndipo nilipoamua kumfuata na kumwambia kuwa nampenda. Na kiukweli nlikua nampenda tangu nikiwa na rafiki yake nd'o maana nkaachana na mwenzake ili nmfuate yeye. Hebu nimbieni hivi atanikubalia kweli? Nshaurini jamani.

:) mambo ya kusubiri upewe majibu kwani umekua mtihani wa form 6 huo? mambo ya kuomba na kusubiri ujibiwe ni mambo ya kizamani nyie mnaishi kwenye dunia gani? haya mambo hayana maswali wala majibu..yanakuja naturally
 
Duh babu[MENTION]Asprin[/MENTION] , Babu gani wewe unatoa ushauri huku umekunja sura..:nerd:

Mbimbinho usinchekeshe bana. Kama unaombwa kitu na mtu aliyeachia ushuhuzi baada ya kula mayai ya kuchemsha, hutaziba pua?
 
Last edited by a moderator:
:) mambo ya kusubiri upewe majibu kwani umekua mtihani wa form 6 huo? mambo ya kuomba na kusubiri ujibiwe ni mambo ya kizamani nyie mnaishi kwenye dunia gani? haya mambo hayana maswali wala majibu..yanakuja naturally

hiyo ni kwa malaya nd'o atakujbu hapo hapo. Kwa mtu anaejiheshmu hapana.
 
aaaaa wewe jamaaa ,unatisha ,unataka kuchanganya madawa, why why? why ? yaan wanaume wanauma naamin
 
hahaha yaan khamis mussa ,unachekesha ,unasema mpaka unajihurumia ,,wewe msanii .
 
Back
Top Bottom