Nimechacha!

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
Unapokuwa umeishiwa....
 

Attachments

  • WIKIENDI 1.jpg
    WIKIENDI 1.jpg
    51.2 KB · Views: 165
Ukimaliza kusoma magazeti ya zamani unaanza kudangaya watoto mimi zamani hivi mimi zamani vile
 
halafu utakuta mzee ananza fix zake mi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani na hii ni kwa wazee wote sasa sijui nani alikuwa anakuwa wa mwisho.au kipindi hicho namba ilikuwa moja.
 
nimeipenda hii kama inanihusu vile.... ila kwenye wa kwanza MIMI ILIKUWA NI UKWELI.
 
Back
Top Bottom