Nimeboreka tu hm. No jf friends in moshi

Ebu badili taito kwanza, yaani hata hujatutafuta umeshakonklud, njoo Priscilla hapa kwenye sofa karibu na kaunta

Njoo Rombo Mkuu, naelekea Keni Asprin kabatiza mtoto leo.

mbutana mwana mmeku kure kawari mwanammeku ngishenywao thae? Na memba sa nyama ya nguku na kimorali shuba imu au iburungusu(dadii)kolya kure ni pm ngishe ndio waishwa thae?

wewe tafuta wa2 kwanza ukikosa ndo ulalamike, karibu muccobs

chaliangu ni vp aisee muccobs wanasemaje man vp pande za rau,ushirika na kesemsii mnama?vp kitimoto hapo kwa mama ndesa kcmc bado inapatikana jamaa angu?

malindi ndo wapi jameni

karibu na kahawa house au tanesco,or ukifika round about ya cocacola ulizia malind ni karibu kabisa na hapo

Mimi nipo maeneo ya TACRI huku bush mpaka nifunge safari, ila mara moja moja nakuja town

Similar Discussions

Back
Top Bottom