Nimebanwa sasahivi-Two girls in my Home

Status
Not open for further replies.

Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,481
10,217
Wadau,Msaada wa maamuzi tafadhali.

Kwanza msianze kunialaumu ,shauri kwanza,lawama baadae.

Hapa nilipo i have two girls in my place.Both are my girls.Mmoja alikuja asubuhi kwa taarifa nikawa nimekaa nae hapa,Mwingine akawa amekuja kwa kustukiza.Sasa hapa wamenibana kweli.Nimecheza na saikolojia zao hawajagombana hata kidogo,Zaidi na zaidi wanapiga stori ingawa wamefumaniana.Ila nina ultmatum ya kuamua namtaka nani.La sivyo hawaondoki hapa hata siku ngapi zipite.Wameweka msimamo na hawanielewi kabisa.

Naogopa ku side na mmojawapo kwa sababu nafikiria athari kwa mwingine zitakuwa kubwa.Msaada tafadhali wa mawazo

UPDATE; Time; 1700 Hours-Monday

Done,wakuu sijapatikana kwa muda hapa nilikua natoa hotuba.Nimepiga chini wote,nimewaomba radhi kwamba intention yangu haikua mbaya kua nao wote wawili, Nilikua katika mchujo.Lakini mchujo huo umejichuja wenyewe ,sasa nawaacha wote wawili,Kila mtu aanze afresh.Nimewapa ukweli baada ya kupata Lunch.

Ila,what am sure of ni kwamba kila mmoja baada ya masaa au siku kadhaa watakuja ku apply upya/tena.Hili nina uhakika.

Mimi kuwa nyumbani leo ni mipangilio yangu binafsi,kazi zinaendelea kama kawaida hata nisipokuwepo.
 
Wambie una goroli mbili lazima zigonge sehemu mbili :A S-fire1:
 
kama hao ni wanawake kweli hapo huna hata mmoja .ila kama ni vilaza watabaki

Natumia technique ya kuchat na mmoja baada ya mwingine.Wanaonesha kubaki na mimi endapo ntamwaga mmojawapo
 
Hizo nazo tabia za ajabu kule nyumbani wanajua unachofanya mjini? pale kijijni wewe unaonekana unatoka wafanyeje ndugu watafute mchawi aliekuloga, malipo kwa Mungu
 
Hizo nazo tabia za ajabu kule nyumbani wanajua unachofanya mjini? pale kijijni wewe unaonekana unatoka wafanyeje ndugu watafute mchawi aliekuloga, malipo kwa Mungu

Lawama ntazikubali lakini sio sasa,sasa hivi toa msaada wa mawazo.Wote sio watakatifu
 
Wewe una mabinti zaidi ya mmoja. Wote umewaonyesha nyumbani kwako. Wote sio wake zako. Waondoe wote. Fanya utaratibu uoe.
 
hv we zinakutosha kweli!? Kwa hyo akili yako yote inakuambia kuwa wana JF ndo wana uwezo wa kukuchagulia dem?? Mbona wakati unawagonga hukutushirikisha??
 
Natumia technique ya kuchat na mmoja baada ya mwingine.Wanaonesha kubaki na mimi endapo ntamwaga mmojawapo
oke guud for u
mimi uaminifu wa mtu ni kigezo no moja.
wachukue tu wote hao
huna hata haja ya kumuacha yeyote
 
toka nao nenda mahali kisha nirushie namba yako nikupigie kukuita kwenye dili ya pesa hapo unawambia kabisa kuwa unakwenda kwenye kaz hivyo inabidi uwaache wewe, utapana basi kwenda kukaa eneo lolote wao wataondoka, hakikisha umewatoa hapao nyumbani kwako, na ufunge mlango wako. utawaaachia njiani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom