Nimeaua kutegua sasa

Mtego

Member
Dec 29, 2011
32
3
Baada ya kuchungulia kwa muda mrefu sana,sasa nimeamua kuingia ili nifaidi vizuri. Naomba ushirikiano
 
Baada ya kuchungulia kwa muda mrefu sana,sasa nimeamua kuingia ili nifaidi vizuri. Naomba ushirikiano

Karibu sana mtego. na kweli leo umenitega. Nitakupa usihirikiano wa hali na mali kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa
 
Back
Top Bottom