Nimeathirika...nataka kula kila siku.

Msaada wa haraka.

Mwenzenu nimeathirika, yaani natamani kila siku nile. Nikipitisha siku moja kwangu naona kama mwaka. sasa ndo tusemeje, mi ni mgonjwa au?
Naombeni msaada wenu waungwana.

Kwa ushauri jitahidi usile kwa wiki tatu mfululizo;utazoea na hutakula tena maishani!
Thawa eeeehhh!!!
 
Back
Top Bottom