Nimeathirika...nataka kula kila siku.

Ule lakini huku ukila chakutosha huo unyegenyaji unahitaji glucose za kutosha
 
kama tu unafanya kazi
ila kama hufanyi kazi 'usile'
 
yah...ni kawaida kila mtu kula chakula kila siku ili aweze kuishi.....sioni tatizo hapo......
tunakula ili tuishi.......

Preta unajua anataka kula nini huyo lakini mpaka amwage chozi jukwaani?
 
kama tu unafanya kazi
ila kama hufanyi kazi 'usile'

Wapo wengi sana hawafanyi kazi na wanakula. Tena wanakula kuliko hata hao wanaofanya kazi...halafu wengine wanakula vyakula vya haohao wanaofanya kazi...tena wanafaidi kweli.
 
Hauna tatizo utakula weee iko siku utakinai tu, mark my words, enjoy eating were you can.

Nimeanza muda mrefu sana najitahidi kuvumilia lakini wapi. Tena wakati mwingine natamani nile hata mara 4 au 5 kwa siku...yaani sichoki.
 
Back
Top Bottom