Nimeanza Tena Kuangalia Taarifa Ya Habari Ya ITV

Maggid hiyo habari ya siku moja tu una conclude? Ungeendelea kufanya utafiti alafu ndio uje kutoa analysis hapa! This is too low kwa level zako mkuu wangu!
...kwa comment yako hii sidhani kama nnalakuongeza...
 
Wewe huchangii post za wenzako subiri kebehi na matusi, na ndio halali yako

Ni kweli kabisam huyu Mhehe ana kiburi cha kijinga, kuwa yeye tu wakutoa mada za wenzake kwake ni ushuzi, what do you expect kutoka kwa mtu ambae anatumwa ni slave wa mzungu?
 
TBC1 wanapenda usanii wanataka wagombea kama yule wa Igunga aliyekuwa kituko ndiyo wampe coverage ya kutosha lengo ni kudhalilisha upinzani. Lakini upinzani ukidondosha nondo za ukweli hawaonyeshi hata kwa dawa.

Wenye busara na hekima husikiliza na kuangalia kila upande, lengo ni kutafuta kioo cha kujiona na kurekebisha mapungufu. ITV ilipotoka na cc wana jf wenye fikra pevu tuliwaonyesha vile wanavyoonekana kujipambanua, na mimi kama mchango wangu kati ya michango mingi mizuri na ya kizalendo ya ma-great thinker -nilimueleza mengi kwamba asitufanye watz kuku na yeye mfuga kuku, kwamba hapendi kuku wakombolewe asijekosa kitoweo.
Itv imetambua kosa lao, imegundua ccm si umma, umma ni umma, umma ni ukweli, na ukweli utadumu.

Kweli humuweka mtu na au taasisi kuwa huru.
Nadhani sasa tuangalie namna gani tuifanye TBC na Mshana aione kweli na atende kweli ali apate uhuru wa kweli.
Mshana yuko jela!
Wana jf tu ndio tunaweza kumkomboa.

Nimeeleweka au? U know ths late hours eh!
 
Maggid we ni gamba,huwezi kujudge Ki2 hiki kwa siku moja,nakudharau unavosema eti ulikuwa ukiwatch TBC 1 newz,hawakuwahi kufanya vyema daima.itv wapo fresh ila ktk urudiaji wa picha za siku ya kwanza ya kampeni za ccm kumpa ujiko sioi ndipo nnapowaona ovyo.maggid kwanza post za wenzako huchangii na ndipo hapo nathibitisha kuwa we ni Kanjanja.
 
maggid we ni gamba,huwezi kujudge ki2 hiki kwa siku moja,nakudharau unavosema eti ulikuwa ukiwatch tbc 1 newz,hawakuwahi kufanya vyema daima.itv wapo fresh ila ktk urudiaji wa picha za siku ya kwanza ya kampeni za ccm kumpa ujiko sioi ndipo nnapowaona ovyo.maggid kwanza post za wenzako huchangii na ndipo hapo nathibitisha kuwa we ni kanjanja.

jamani hata kama upofu basi watu wa magwanda mmezidi hivi mmeangalia picha ya leo itv ? Ni ile ile ya uzinduzi kwani kuna mapango kama mawili hivi ambayo kwa sisi wafuatiliaji tunayafahamu kuwa yaliyoka eneo la esso jiji arusha lakini nashangaa hamsemi hilo
 
Wewe huchangii post za wenzako subiri kebehi na matusi, na ndio halali yako

mh hayo uliyoyatabiri haya hapa
Maggid hiyo habari ya siku moja tu una conclude? Ungeendelea kufanya utafiti alafu ndio uje kutoa analysis hapa! This is too low kwa level zako mkuu wangu!

umehongwa na mengi wewe, ITV naangalia kipindi cha mizengwe tu.



hebu imagine watu kama huyu ndio ma prominent news analysts wetu wa kibongo!
 
Back
Top Bottom