Nimeamua

sasa unazima sim siku ya valentine si mpenzi wako atachukia? bora tu umwambie hauko tayari kwa sasa unaomba ku-skip valentine day ya 2012. kama anakupenda atakuelewa.
 
Mwali nimekuzimikia, halafu nna uhakika hiyo avatar ni wewe mwenyewe.
 
Kumbe ni wew uliyemzimia simu Michael skullfield, Mwenzio anaumia weweeeee. Halfu siku yenyewe ndo hii jamai

HAPPY VALENTINEDAY
 
teh teh teh leo ipo kazi... huwa hawawi na mmoja hao, lazima atakuwa na spare tyre kwa ajili ya emergency kama hizo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom