Nimeamua- NITAVAA JEZI YA YANGA KESHO

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Kesho ndio game ya Caf Champions League kati ya watani na Zamalek hapo uwanja mkubwa wa Taifa.
Nimeamua kwenda kinyume na mazoea ya kawaida, kwamba mtani akicheza hata na pipa, sisii tushabikie pipa. Nafuata mkondo mwingine kabisa...
Sisi wapenzi na wanachama wa Simba hatujawahi kukubaliana katika kikao chochote rasmi kuwa popote itakapocheza Yanga, basi sisi tushabikie wapinzani wao hivyo kwa kuongozwa na utashi binafsi, nimeamua kuiunga mkono Yanga hiyo kesho.
Tayari nimeshanunua jezi ya rangi ya manjano pamoja na skafu yake, na tiketi ya jukwaa la buluu ninayo.
Mnaounga mkono maamuzi yangu mnakaribishwa.
View attachment 47573Yanga African Sports ClubView attachment 47572
 
Ukishashabikia uelekee Jangwani kwenye mbu.

Usiridi Msimbazi kwa watoto wa Mujini.

Pole kwa maamuzi malaini
Ha ha ha ha!
Umenifurahisha sana mkuu, hii ni just kwa game ya kesho, mimi na Simba damu damu, kama ni usajili unaweza kuwa wa mkopo tu.
 
Aisee Sobhuza usimsikilize huyu jamaa..wakija Kiyovu tuko pamoja sana...

Unaju washabiki hatufanani, since hakuna vigezo na masharti... Ni just maamuzi ya mtu, na kila mmoja atayaheshimu.
Ni ngumu sana kwa washabiki wa Simba kuamini kinachojiri, na watakejeli sana...
Ila ndo nshaamua ivo!
Kiyovu wakija kufa hapa karibu sana mkuu.
 
Sijawahi kua na uzalendo wa kinafiki kama huu.
Wadau nisaidieni rangi ya Jezi za Zamalekh niingie mitaani kuzisaka. Kesho Jukwaa la kushoto kama kawaida ni la Zamalekh
 
Unaju washabiki hatufanani, since hakuna vigezo na masharti... Ni just maamuzi ya mtu, na kila mmoja atayaheshimu.
Ni ngumu sana kwa washabiki wa Simba kuamini kinachojiri, na watakejeli sana...
Ila ndo nshaamua ivo!
Kiyovu wakija kufa hapa karibu sana mkuu.
Mkuu bora tu ungewaunga mkono bila kuvaa jezi yao, mimi ningepata nafasi ya kwenda uwanjani ningewaunga mkono kwa kukaa kimya endapo wageni watapata goli.
 
Hongera kwa kufanya MAAMUZI MAGUMU

attachment.php
 
Kesho ndio game ya Caf Champions League kati ya watani na Zamalek hapo uwanja mkubwa wa Taifa.
Nimeamua kwenda kinyume na mazoea ya kawaida, kwamba mtani akicheza hata na pipa, sisii tushabikie pipa. Nafuata mkondo mwingine kabisa...
Sisi wapenzi na wanachama wa Simba hatujawahi kukubaliana katika kikao chochote rasmi kuwa popote itakapocheza Yanga, basi sisi tushabikie wapinzani wao hivyo kwa kuongozwa na utashi binafsi, nimeamua kuiunga mkono Yanga hiyo kesho.
Tayari nimeshanunua jezi ya rangi ya manjano pamoja na skafu yake, na tiketi ya jukwaa la buluu ninayo.
Mnaounga mkono maamuzi yangu mnakaribishwa.
View attachment 47573Yanga African Sports ClubView attachment 47572

kaabike salama
 
Ati unakubali kuwa yebo yebo? Halafu ukakae kwenye jukwaa lao? Labda siku hizi. Zamani hata ukivaa jezi ya njano na kwenda kukaa
kwenye jukwaa lao kuwaunga mkono wakigundua tuu kuwa wewe ni Simba damu ni kichapo kama cha mwizi toka kwa hao hao uliotaka kuwaunga mkono. Na ukirudi maskani unapata pia kichapo toka kwa wanasimba vile vile kwa usaliti. Same ilikuwa ina-apply pia kwa mwanayanga kuunga mkono Simba. Ilikuwa ni mwiko.
 
Hongera kwa kufanya MAAMUZI MAGUMU

attachment.php
[/Q
Jamaa ana usongo na zamalek huku amelala,inamaanisha bila mazoezi anaweza kumchapa zamalek,kesho tena tusubiri itakuwaje

ila jamaa si vita kwa sana kule,nadhani hata mazoezi hawafanyi kwani viwanja vyao vinatumika kwa mazoezi ya kijeshi
 
Back
Top Bottom