Nimeamua nimsahau

Hongera dr,bora K hukumpa mana hakuna jipya jamaa akishapita hata kama unampenda vipi ataondoka

Kumbe huyu ni Dr! Nimegundua kwa nini jamaa alisepa hata k hakuiulizia. Most of them are pasua kichwa thinking they are special in every aspect!! Hata mapenzi wanataka kuyapeleka kishule shule!
 
Kumbe huyu ni Dr! Nimegundua kwa nini jamaa alisepa hata k hakuiulizia. Most of them are pasua kichwa thinking they are special in every aspect!! Hata mapenzi wanataka kuyapeleka kishule shule!

hahhaha,nooo,dr ni dear kwa ufupii
 
Habari wanajf,
Nilishawahi kutuma post siku za nyuma nikeleza jinsi gani mpenzi wangu aliamua kuniacha baada ya kumtumia sms na kumuuliza maswali kadhaa ambayo ndiyo yaliyosababisha tugombane na kuvunja uhusiano wetu. Nashukuru kwa ushauri mlionipa umenisaidia sana naamini haukuwa Mpango wa Mungu kwa hiyo niameamua rasmi nimsahau. Nashukuru Mungu coz hakufanikiwa kupata K, isipokuwa mambo madogo madogo tu ya kawaida. I hop kuwa Mungu atanijalia Mpenzi Mwingine ambaye atanipenda nami nitampenda na if possibo Mungu akipenda ndiye atakuwa mume wangu. Kwa vile naye yuko humu jf namtakia kila la kheri katika mambo yake. Asanteni kwa ushauri wenu umenisaidia sana na MUNGU AWABARIKI NYOTE!!!!!!!!!!

Ungempa papuchi usingeweza kumsahau!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom