Nimeamua kuwatetea Lowassa, Chenge na Rostam

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Kwa kipindi cha miezi miwili sasa imepita Tangu Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kutangaza ilichokiita Kujivua Gamba kwa Lengo Si la kuboresha Maisha ya Watanzania bali KUKINUSURU Chama Cha Mapindizi ( Sijui nani kawadanganya kuwa wananchi watalia na kuomboleza siku wakisikia CCM imekufa ).

Moja kati ya Mikakati yao ni kuwaomba ( Wenyewe wanadai kuwataka, lakini huwezi kumtaka mtu ajiuzulu halafu unakaa naye Kikao cha Kumuomba ajiuzulu) wale wote wanatuhumiwa kwa ufisadi uliokichafua Chama Cha Mapinduzi Machoni mwa Watanzania. Lakini CCM hao hao hakuna Mahali wamesema kwamba

1. Ni Lini Lowasa, Chenge na Rostam walituhumiwa kwa ufisadi
2. Ni Wapi Lowasa, Chenge na Rostam walituhumiwa Kwa Ufisadi
3. Ni Nani aliyewatuhumu Lowasa, Rostam na Chenge kwa Ufisadi wao
4. Ni Vipi Lowasa, Rostam na Chenge waliingia BOT na kukwapua Mabilioni ya Shilingi.
5. Ni kwa vipi Kujiuzulu kwa Hao watatu kutaleta Nafuu kwa maisha ya Watanzania

Mpaka hapo CCM itakapotoa majibu kwa Maswali hayo Mepesi Nitaendelea kuwatetea Lowasa, Rostam na Chenge

Asanteni
 
I stand firmly, Kama CCM inawavua Magamba kwa Maslahi ya Chama Mimi nimeamua kuwatetea Kwa Maslahi ya Wananchi
 
Kwakua kaingia JF unahisi kumtetea ndo utakua ume ukata eh?
Ganga njaa tu
 
Mimi nawashauri Lowassa, Chenge & Rostam wasife peke yao. Ni bora wamlipue na huyu jamaa ambaye haeleweki, JMK. Kwa nini awatose wao peke yao wakati hizo hela walizitumia kwa maslahi yao wote. Huu ni uanfiki wa watanzania, ati jk anaangushwa na mafisadi, watendaji wake. Huu ni uongo semeni JMK na serikali yake wamewaangusha watanzania.

RACHEL komaa mfe naye huyo jama anataka kuwatosa baharini shukeni naye mfe wote. Ala!
 
Asante Kuniunga Mkono

Nimewauliza RACHEL hater maswali marahisi Kabisa kwamba Ni Wapi, Lini na Nani aliwashutumu hawa watu Kwa Ufisadi? Wameishia kusema Naganga Njaa, Nimetumwa ha ha haa
 
1. Ni Lini Lowasa, Chenge na Rostam walituhumiwa kwa ufisadi
2. Ni Wapi Lowasa, Chenge na Rostam walituhumiwa Kwa Ufisadi
3. Ni Nani aliyewatuhumu Lowasa, Rostam na Chenge kwa Ufisadi wao
4. Ni Vipi Lowasa, Rostam na Chenge waliingia BOT na kukwapua Mabilioni ya Shilingi.
5. Ni kwa vipi Kujiuzulu kwa Hao watatu kutaleta Nafuu kwa maisha ya Watanzania
 
Kwa kipindi cha miezi miwili sasa imepita Tangu Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kutangaza ilichokiita Kujivua Gamba kwa Lengo Si la kuboresha Maisha ya Watanzania bali KUKINUSURU Chama Cha Mapindizi ( Sijui nani kawadanganya kuwa wananchi watalia na kuomboleza siku wakisikia CCM imekufa ).

Moja kati ya Mikakati yao ni kuwaomba ( Wenyewe wanadai kuwataka, lakini huwezi kumtaka mtu ajiuzulu halafu unakaa naye Kikao cha Kumuomba ajiuzulu) wale wote wanatuhumiwa kwa ufisadi uliokichafua Chama Cha Mapinduzi Machoni mwa Watanzania. Lakini CCM hao hao hakuna Mahali wamesema kwamba

1. Ni Lini Lowasa, Chenge na Rostam walituhumiwa kwa ufisadi
2. Ni Wapi Lowasa, Chenge na Rostam walituhumiwa Kwa Ufisadi
3. Ni Nani aliyewatuhumu Lowasa, Rostam na Chenge kwa Ufisadi wao
4. Ni Vipi Lowasa, Rostam na Chenge waliingia BOT na kukwapua Mabilioni ya Shilingi.
5. Ni kwa vipi Kujiuzulu kwa Hao watatu kutaleta Nafuu kwa maisha ya Watanzania

Mpaka hapo CCM itakapotoa majibu kwa Maswali hayo Mepesi Nitaendelea kuwatetea Lowasa, Rostam na Chenge

Asanteni

Ok, ok, hutaki majungu, fitina, ghiriba. You only need evidence, siyo? Tell me....
 
swala hili la kujivua gamba ni unafiki. wanataka tu kuwazuia watu 2015 ila si kwa nia njema
 
Kujivua Gamba kwa Maslahi ya Chama kutampaje Unafuu wa Maisha Babu yako anayekufa kwa Umaskini Kijijini

I will Stand With Edward, Andrew and Rostam

Kama huna thread ya maana ya kushare na watu basi soma za wenzako, sio lazima uanzishe thread. mambo mengine ni kuja kujidharirisha tu hapa jamvini, by the way leo ni jumapili unaweza kwenda kupata kitimoto yako siku ikawa imekwenda. na nadhani leo hamna cha maana hapa jamvini kumejaa stori za kusadikika tu, mara mwingine kajifanya yeye ndio Edward Lowasa basi ili mradi ni vituko na porojo tupu. ni bora nisign out. endeleeni na porojo zenu wenyewe.
 
Mimi siamin katika mlengo wa kujivua magamba wa chama chenu cha Mafisadi wala hao mapacha 3. naamin kwenye mlengo wa demokrasia ya kweli kwa manufaa ya watz. U WILL STAND IN WRONG IDENTITY 4EVER.
 
Kama huna thread ya maana ya kushare na watu basi soma za wenzako, sio lazima uanzishe thread. mambo mengine ni kuja kujidharirisha tu hapa jamvini, by the way leo ni jumapili unaweza kwenda kupata kitimoto yako siku ikawa imekwenda. na nadhani leo hamna cha maana hapa jamvini kumejaa stori za kusadikika tu, mara mwingine kajifanya yeye ndio Edward Lowasa basi ili mradi ni vituko na porojo tupu. ni bora nisign out. endeleeni na porojo zenu wenyewe.

Mkuu Sikuelewi Hizi si Story kaka I'm for Real. I Stand for Edward, Andrew and Rostam

Wewe uko Upande Gani? Wa kujivua Gamba?
 
Back
Top Bottom