Nimeamua kuwajibika na kuachia ngazi!

utakuwa zaidi ya kilaza! ulitakiwa ushitakiwe na ufungwe kwa kushindwa kutekeleza majukumu yako, tena ulitakiwa kunyongwa, umesababisha watu wamekufa na malaria, kuharisha na magonjwa ya tumbo. tena ulitakiwa upigwe mawe, na urahaniwe kwa kushndwa kutekeleza majukumu yako, unajisifia upuuzi! nawe ni wale wale!
 
Kwa baadhi ya majukumu nimeelewa.

Kama Jogoo anashindwa kuwika je? Nako si nikushindwa majukumu vilevile, hapo naachiaje ngazi na kumkabidhi majukumu??
kaazime kwa jirani, kuna Supu ya Pweza, Supu ya Ngisi, na dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo zimejaa kama nini huko bara.
lau kma zingekuwa zinatibu ukimwi au maleria watu wasingekufa
 
utakuwa zaidi ya kilaza! ulitakiwa ushitakiwe na ufungwe kwa kushindwa kutekeleza majukumu yako, tena ulitakiwa kunyongwa, umesababisha watu wamekufa na malaria, kuharisha na magonjwa ya tumbo. tena ulitakiwa upigwe mawe, na urahaniwe kwa kushndwa kutekeleza majukumu yako, unajisifia upuuzi! nawe ni wale wale!
Adhabu zote hizo nipewe mie!
 
Hii habari ingependeza ikapelekwa kule kwenye mseto. Lakini hongera kwa uamuzi mgumu.
 
utakuwa zaidi ya kilaza! ulitakiwa ushitakiwe na ufungwe kwa kushindwa kutekeleza majukumu yako, tena ulitakiwa kunyongwa, umesababisha watu wamekufa na malaria, kuharisha na magonjwa ya tumbo. tena ulitakiwa upigwe mawe, na urahaniwe kwa kushndwa kutekeleza majukumu yako, unajisifia upuuzi! nawe ni wale wale!

mkuu labda katiba yao haina hizo kanuni. Labda kwa ushauri wazi implement ili watu wanapopewa dhamana ya kuongoza wawe makini
 
Waanze na katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama
 
Mwaka mmoja uliopita nilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya kutunza mazingira hapa chuoni kwetu na nilipitishwa kwa kura nyingi sana na wanachuo wenzangu na kupata ushindi wa kishindo.

Lakini jana katika mkutano wa mwaka wa kamati ya kutunza mazingira, taarifa yangu ya mafanikio yaliyofikiwa na kamati yangu yameonekana kuwa kinyume na matarajio ya wanachuo wenzangu, kwani kulikuwa na malalamiko mengi sana ya uchafu katika mazingira ya chuo, mitaro kuziba kutokana na uchafu, mazalia ya mbu kutothibitiwa na hivyo kusababisha wanafunzi kuugua malaria kwa kiwango cha kutisha.

Nilikubali udhaifu wa kamati yangu katika kutekeleza majukumu yake kama yalivyoainishwa katika muongozo wa kamati yetu, hivyo niliamua kujiuzulu ili kupisha mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza.

Nawausia wana JF wenzangu na wananchi wote kwa ujumla, muige mfano wangu, pale inapoonekana mmeshindwa kutekeleza majukumu yenu mliopangiwa hata kama ni majumbani kwenu, basi mkubali kuwajibika na kuachia ngazi.

Nawasilisha!

Hiyo kazi ilikuwa na posho?
 
laptop za wachapa kazi haziwekwi mapajani namna hiyo!!!huwezi ukawa hata kiongozi wa familia kwa stail hiyo!
 
Mwaka mmoja uliopita nilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya kutunza mazingira hapa chuoni kwetu na nilipitishwa kwa kura nyingi sana na wanachuo wenzangu na kupata ushindi wa kishindo.

Lakini jana katika mkutano wa mwaka wa kamati ya kutunza mazingira, taarifa yangu ya mafanikio yaliyofikiwa na kamati yangu yameonekana kuwa kinyume na matarajio ya wanachuo wenzangu, kwani kulikuwa na malalamiko mengi sana ya uchafu katika mazingira ya chuo, mitaro kuziba kutokana na uchafu, mazalia ya mbu kutothibitiwa na hivyo kusababisha wanafunzi kuugua malaria kwa kiwango cha kutisha.

Nilikubali udhaifu wa kamati yangu katika kutekeleza majukumu yake kama yalivyoainishwa katika muongozo wa kamati yetu, hivyo niliamua kujiuzulu ili kupisha mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza.

Nawausia wana JF wenzangu na wananchi wote kwa ujumla, muige mfano wangu, pale inapoonekana mmeshindwa kutekeleza majukumu yenu mliopangiwa hata kama ni majumbani kwenu, basi mkubali kuwajibika na kuachia ngazi.

Nawasilisha!

Unataka watu waige nini sasa kwako? Hukusimamia mazingira! Umesubiri mpaka watu wamekupigia kelele! Wewe hukuona kuwa umeshindwa kabla?
 
Vp yale mapicha yetu kwenye lile jukwaa la wa...bwa cyaoni au ni macho yangu kiongozi?
 
Uamuzi ni mzuri kuwajibika pale ambapo matarajio yameshindwa kutimizwa. lakini tueleze na changamoto ili na sisi tujifunze ila kwenye familia sina uhakika, utamwachia nani!!!
 
Hii itakuwa kile chuo pale Magomeni Usalama, ZOOM POLYTECHNIC maana naonaga full uchafu kila sehemu. pole uliyekuwa kiongozi uchwara
 
kaazime kwa jirani, kuna Supu ya Pweza, Supu ya Ngisi, na dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo zimejaa kama nini huko bara.
lau kma zingekuwa zinatibu ukimwi au maleria watu wasingekufa

kumbe ww unatokea zenji kwa wale kaka zako wa uhamsho!? Nadhan utakuwa unajua zaidi so tupe updates ya jinsi mlivyochoma makanisa kwani hayo makanisa ni kikwazo sana hayo mapepo yenu hayapendi kabisa.. Gosh,

Enewei so ndo ukaamua kuachia uongozi wa madrasa tu ukakushinda! Sasa je tukiwaachia hako ka-nchi kenu nyie ndo vijana mnaotegemewa kuongoza nchi ambao tu madrasa mnashindwa kuongoza. Lol
 
Back
Top Bottom