Nimeamua kuwa cheater

kucheat noma wakuu............ huo ni ujasiri wa kishetani ambao huisha mara tu unapomaliza kutenda......tajutaje!!!! noma chali angu.
 
Unaishi kisanii kama presidaa wetu haha hata mie ni cheater kama nchi yetu
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.
 
Stress zingine bana! haya mama, niPM tuanze fasta wakati wengine wapo wanajishauri
 
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.

Sio sahihi kabisa dada yangu kwa maamuzi unayotaka kufanya!Lakini elewa mambo haya yanatokea kwa sababu ya Kukosa kujua neno la Mungu linasema nini juu ya zinaa katika marefu na mapana yake, kumewafanya watu wengi wanaswe na mtego huu mbaya.Watu wa Mungu wengi sana nyakati hizi wanaangamizwa kwa kukosa maarifa – maarifa juu ya mapenzi ya Mungu. Na eneo mojawapo ambalo linaangamiza wengi ni eneo la uzinzi.Hosea 4:6 (“Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa…..”)
ushauri mzuri wa biblia utakaoweza kukusaidia kuishinda dhambi hii ya zinaa.

1. DUMU KATIKA MAOMBI
Yesu pale Gethsemane alisema;
“Je! Hamkuweza kukesha pamojanami hata saa moja? Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi. Lakini mwili ni dhaifu” (Mathayo 26:40-41)
Ukisha mpokea Kristo moyoni mwako, roho yako inakuwa radhi kumtii Kristo na kutokutenda dhambi; lakini kumbuka kuwa roho yako bado imo katika mwili ulio dhaifu ambao unataka kutenda dhambi.
Yesu Kristo alipokuwa akifundisha kuomba alisema sehemu mojawapo ya maombi yetu iwe;
“Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu, Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu na utukufu, hata milele, Amina.” (Mathayo 6:13). Watu wengine huwa wanaisema sala hii kikasuku bila kuangalia uzito wa maneno yaliyomo. Lakini ukijua uzito wake hutachoka kuomba kwa “ Na usitutie majaribuni.” Jaribu mojawapo ambalo unapaswa uombe uepushwe nalo ni zinaa.
Wengine wakianguka katika zinaa, utawasikia wakijitetea na kusema; “Nilibanwa mno hata nikashindwa kujizuia – nikaanguka katika zinaa.”
Unaweza ukajitetea hivyo, lakini ungeamua kushinda, Bwana angeuwezesha kushinda. Kwa kuwa imeandikwa; “ Ninyi watoto wadogo mwatokana na Mung; nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye NDANI YENU NI MKUU KULIKO aliye katika dunia.” (1 Yohana 4:4) “ Lakini katika mambo hayo yote TUNASHINDA NA ZAIDI YA KUSHINDANA kwa yeye (Yesu Kristo) aliyetupenda (Warumi 8:73)
Na ni budi pia ukumbuke, kila jaribu lina njia ya kutokea, si katika njia ya kushindwa bali katika mlango wa ushindi.
“Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke. Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu, ila Mungu ni mwaminifu, ambaye HATAWAACHA MJARIBIWE KUPITA MWEZAVYO; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.” (1 Wakorintho 10:12-13)
Je! Hili si jambo zuri kufahamu ya kuwa Mungu wetu tunayemwabudu na kumtumikia katika Kristo ni MWAMINIFU? Hili ni zuri sana! Kwa kuwa hatatuacha tujaribiwe kupita tuwezavyo, lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili tuweze kufanya nini? Ili tuweze KUSTAHIMILI! Jina la Bwana libarikiwe daima!
Tafsiri nyingine inasema “Anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke. Majaribu mliyokwisha pata ni kawaida kwa binadamu. Mungu ni mwaminifu. Naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.”

2.
IKIMBIE ZINAA.
“IKIMBIENI ZINAA. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.” (1 Wakorintho 6:18)
Ni kweli ya kwamba, biblia inasema “Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, naye atawakimbia.”(Yakobo 4:7). Lakini biblia haisemi ipingeni zinaa, bali inasema IKIMBIENI ZINAA!
Watu wengi wameanguka katika zinaa, kwa kuwa wanajaribu kupingana nayo. Mwisho wake wanazidiwa na wanazini. Kwa nini hawafuati ushauri huu wa biblia unaosema ikiembieni zinaa?
Katika kitabu cha Mwanzo 39:6-12 tunasoma habari za Yusufu jinsi alivyokabiliwa na jaribu la uzinzi, na jinsi alivyopona kwa kukimbia!
 
yaani uzinzi ni good time? Acha kudanganya wewe

sasa kwanini ujitunze alafu mwenzako acheze huko nje na bado aje kukuambukiza magonjwa...si bora wewe ule good times unaweza kujiprotect vizuri na ukala raha...
 
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.

Yote ni hasara kwa hali uliyonayo dada yangu. Usipoufuata bado mwenzako atakuletea. Sina ushauri zaidi wa kukupatia.
Dawa iliyowaponya wengi na kuwaongezea maisha ni hii. Kama mwenzako ameshindikana kabisaaa..., kapime, kama u salama basi mshukuru Mungu, ng' atuka na kaa pembeni enjoy life na YESU.
 
There are countless ways to die.
Bodaboda na kurogwa to mention few.
Huwezi ogopa kuplan kisa kifo kipo!

Mkuu Sigma, shida si kuwa na uhakika wa kufa Ila wanamshauri apunguze idadi ya vitu vinavyosababisha probability yake ya kufa iongezeke. Pia akiwa cheater kama huyu mwenye mbio na madoadoa zambi kwa mola na sisi tunaogopa asije akatuuma na sie kisa yeye kaumwa...
 
Last edited by a moderator:
we getruda vipi wewe?unachelewachelewa nini sasa?wanaume wanawasubiria sana wanawake kama nyinyi!siku hizi watu wanataka kumalizana leoleo tu so mkiwepo watu kama nyinyi inakuwa poapoa tu!kila la kheri

nikupe rule number 1 ya kuwa best cheater!wanaume 13 wa kwanza kutoka leo watakaokutaka wape wote kitumbua bila kukataa!utaanza kuchagua baada ya kuwapa hao 13 kwanza!remember...the number is thirteen!
 
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.

Ni kwa maangamizi yako.
 
Kila la heri
 
Getruda! Kwanza nakupongeza kwa kufunguka ila hala hala fikiria mara mbili au tatu, think on life ukiwa kicheche hata nafsi yako haitakubali na utakuwa unafanya kwa kujificha, think on the risks above all aids its real man na by the time tested positive inakuwa kama umehukumiwa death penalty.

Think kwamba hutapata nafasi nyingine tena ya kurekebisha makosa na as you noted dunia haiko fair na ku do sio starehe pekee. Think about the big network that you want to connect yourself in, think about people around you who going to suffer resulted about your cheating.
 
Hakuna anayecheat kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake. Ku-cheat ni uamzi na unatoka ndani. Hautoki nje hata kidogo. Ikiwa mtu anakuumiza unadhani kucheat ndo jibu? Ni sawa na kujaribu kuzima moto kwa kuumwagia petroli. Huyo anayekuumiza akigundua unacheat hatajua kama yeye ndo kaanza au wewe! Atafanya kile anachotaka kukifanya, ila hana sababu ya kukifanya. Atakumwaga!

Halafu utajikuta umekuwa wa kila mtu! Utakuwa hu-cheat tena, kwani huyo unayedhani utakuwa unamcheat hatakuwepo! Hapo ndo utajua mapenzi ya kucheat yanavyoweza kuwa matamu na machungu vile vile!
 
what!
Are you aware of the kind of the world in which we are living?

The world is trying to tell people especially youths that in ones life SEX, CELEBRITY and MONEY is every thing. This is there inside the New World Order which is under the implementation of ILUMINATIES!!! They don't want to see BLACK people as far as they believe that WHITES are SUPERIOR over BLACK peopld. We need to change. We need to create a mind that SEX, CELEBRITY and WEALTH is nothing in ones LIFE.

Although we need to struggle for better life but we need something else. To live according to God's WILLS.

Bro you better marry.
natamani msg yako niiweke kwenye kila kona ambayo vijana wapo huwenda wengine wakaelewa!tukawaokoa wengi kwani tusipoangalia bara la africa litabaki tupu na wazungu ndo watamia huku jamani umalaya hauna tija. mbaya zaidi ukiwa mwanamke jamii nzima inakudharau na huwezi kurekebishika.please dont do it ni mbaya mno kama unaweza ni pm naweza kukuelekeza zaidi tusiwakele watu wengine kwa maelezo yetu.
 
Back
Top Bottom