Nimeamua kuwa cheater

huna shida ya kucheat...wewe kuwa na sex mates ambao wanakupa mambo tofauti na unawaambia toka mwanza kuwa hapa twala utamu...so unapata utamu wako na no stress
 
pole sana acha hicho unachoplan kufanya hakitokusaidia zaidi ya kuongeza matatizo
 
Yeah ni uamuzi mzuri wa kujichimbia kaburi mwenyewe. Wapo wengi na virus vyao wanakusubiri. Trust me Condom siku ya kwanza ukijitahidi sana siku tatu baada ya hapo mwendo mdundo.

Uhuru wako cheat kabisa mpaka iote sugu.

Ujumbe MZITO SANA huu, mwenye Sikio na atasikia.
 
kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? Niwe natenda wema alafu malipo kwa mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.

tafadhali sana dada soma mchango wa mtu wa kwanza kabisa baada ya wewe kupost na uufikirie sana, kwani uzinzi una gharama kubwa sana na siku yakikufika hakuna hata mmoja hapa jf atakayekusaidia. Please usifanye hivyo kabisaaaaaaaaaaa. Sawa dadangu.
 
Kufa kufa tu, usipokufa kwa ngoma utakufa kwa malaria au kwa chanzo kingine..... la muhimu ni kuplay safe!
lakini pia nyie mnaojifanya wasafi mnajali ndo huwa mnakufa kwa unafiki wenu kwani huwa gizani mnayoyafanya mnayajua wenyewe.

KWAHIYO NA WEWE HUKO ULIPO TENA MBALI NA MMEO KWA KIPINDI KIREFU UNAWAPA SIYO? SIKU ANAKUPOKEA AKIAMINI MKE WAKE YUKO SALAMA KUMBE SI AJABU HADI GROUP SEX TAYARI AMEWAHI SHIRIKI? ACHA KUMDANGANYA MWENZIO GETRUDE KWA MAWAZO YA KUPOTEZA. With your education and exposure we would expect you to be productive and not the way you always support these kind of things.

Kila siku unaita watu wanafiki kisa wamekwenda tofauti na kile unachopenda? Nani kakuambia kwamba kila mtu anafikiria sawa kama wewe? Acha kumdanganya Getrude tafadhali, kwani anahitaji msaada wa ushauri kuliko hizi support zenye nia ya kumpoteza kama unazompa.
 
kama una stress jaribu kutulia kwanza..maamuz yanayotoka kipindi ukiwa na stress mara nying yanakuwa wrong
 
Rest In Commotion
Shetani akutumie vizuri ili ile burning sulphur ikakuchome vyema.
Hongera kwa uamuzi wako wa huzuni.
 
they say people dont change...you just didnt know them well before....so sio kwamba umeamua kuwa cheater, you were always a cheater sema tu ulikuwa hujajidhihirisha. usisingizie kutendwa ndio kubadili tabia yako!
that's a gud one Vanilla. it's rather a broader manifest of a long-held/lived lifestyle
 
Na wasiwasi na wewe! Umejiunga Jana sijui Juzi.. Umeshatangaza Dau.. Haya Wanaume Kazi kwenu Mboga Tayari ipo Mezani.... Hakuna cha saundi ni kumwambia THead yako unapata

UKIMWI HAUNA DAWA
 
Its not worthy it....... Hakuna faida utakayopata, utazidi kujiumiza tu. Why changing your lifestyle because of a stupid person who isnt worthy your love? Kwa nini ujidhalilishe kwa sababu ya mtu mjinga?? Move on with your life, one day atapatikana a decent and trustworthy man who deserves your love...... Dont let it hurt you twice, umeshaumia mara moja...... Move on. Ukibadilisha your lifestyle you ll always remember that person aliyekuumiza because kama source ya your new life style...... Utaharibu kila kitu. Mskitikie kwa kukosa mapenzi yako ya dhati na mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mapema kuwa halikuwa chaguo sahihi, before it was too late. Halafu endelea na maisha yako.
 
KWAHIYO NA WEWE HUKO ULIPO TENA MBALI NA MMEO KWA KIPINDI KIREFU UNAWAPA SIYO? SIKU ANAKUPOKEA AKIAMINI MKE WAKE YUKO SALAMA KUMBE SI AJABU HADI GROUP SEX TAYARI AMEWAHI SHIRIKI? ACHA KUMDANGANYA MWENZIO GETRUDE KWA MAWAZO YA KUPOTEZA. With your education and exposure we would expect you to be productive and not the way you always support these kind of things.

Kila siku unaita watu wanafiki kisa wamekwenda tofauti na kile unachopenda? Nani kakuambia kwamba kila mtu anafikiria sawa kama wewe? Acha kumdanganya Getrude tafadhali, kwani anahitaji msaada wa ushauri kuliko hizi support zenye nia ya kumpoteza kama unazompa.
TELO wewe mchawi eeehh hahahahahahahahahahahaha au ni shekhe yahaya amefufuka, mhhh haya, umejuaje kwamba niko mbali na mume wangu??
 
Last edited by a moderator:
Asanteni sana kwa maoni yenu, nimeyapata na nitajaribu kuyafanyia kazi kulingana na kile ninachoamini kwa sasa, kuhusu afya yangu, ninajua ni jukumu langu kujionea huruma kabla ya kuonewa huruma, ila all in all nitaishi kisanii kama ambavyo dunia iko kisanii
 
TELO wewe mchawi eeehh hahahahahahahahahahahaha au ni shekhe yahaya amefufuka, mhhh haya, umejuaje kwamba niko mbali na mume wangu??

Usihofu dada yangu, mimi siyo mchawi ila nina uwezo mkubwa sana wa ufahamu ktk mambo mengi hasa ninaposoma thread ya mtu. Lkn pia uliwahi kukiri hapa JF kwamba uko mbali na yule umpendaye. Usiku mwema na kila la kheri Mrembo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom