Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

And that is a good motto gal! As long as uko tayari kwa matokeo ya maamuzi yako, I totally agree with u. Just aspire,sikukubaliana nawe kuwa u lov it already kabla hujayaishi hayo maisha. Ushauri wa MJ1 ni wa muhimu, unahitaji kupumzika alone (kama bado hujapata hiyo small house teyari), upate akili timamu. Shida uliyoipata kwa mumeo ni wewe tu unaijua, na hakuina ushabiki kwa hili. Lakini usipojipa muda wa kupona moyo wako,utajikuta unabeba frustrations za nyumba kubwa kwenda nyumba ndogo and nobody is gonna have fun! Pole mama. Just be carefull, tungekua tunajuana ningehakikisha kwenye handbag yako una a fancy package of condoms, for in ur state hiv is haunting u;lest u start thinking straight. What is the rush? Take a deep breath and enjoy being u!
Im ready to be responsible for any outcomes< I swear I wont regret
 
hongera kwa kulea wanao mwenyewe, kama ni kweli mumeo alikua hakusaidii hata kidogo mie sina cha kusema, enjoy.........

ila akili kichwani mwako
 
Pole sana kwa hayo maamuzi..ila napenda kukuuliza unalipiza kisasi? au ndo moyo wako umekutuma kufanya hivyo? Fahamu kuwa maamuzi yako ya leo yana determine future yako!!!
 
Atajijua mwenyewe I hate men, I have nothing to loose ajue asijue yote sawa tu.

kama unawachukia hivyo
si uwe tu single parent.. usihangaike na nyumba ndogo..
maana hapo kuna wewe na wana .. watoto nao wanatakiwa
wa adopt maisha mapya na huyo nyumba ndogo.. au hujali
kuhusu wao pia..?
 
Sasa akiwa single parent atakwepa hizo ada za wanae? Manake mwanaume akiachwa mostly anakuwa hopeless jumla! Na uchumu mdororo haukawii kumkumba! Utaacha kulipia ada wanao bidada,mwisho wakaishie kutanga na dunia?

Watoto wangu nawalipia ada mwenyewe tena kwa marefu na mapana hata nisipopata back up namanage maisha yangu mahitaji yote vizuri sana,, lakini lazima niwe nyumba ndogo kwanza ndio baadae nije kuwa single, roho yangu ndio itatulia.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
For your information nimekuwa nalipa hizo ada mwenyewe, matumizi mwenyewe plus kumlisha huyo bwana mwenyewe so imagine nikiwa nyumba ndogo, napewa vyote hivyo na watoto sio wake tena ni 1 call tu hakuna kusumbuana ada matumizi yanaletwa fastaaa, maana anajua akiharibu zitafika

wanaume wa siku hizi kwa nini wanapenda kulelewa? kajilie raha zako mwaya but kuwa makini na huko uendako
 
Katika viumbe alivyoumba Mungu,mwanadam ndo hana maana,nasema hayo coz tunatamani sana kujikimbia ili tusiwe sisi na hilo linaondoa kabisa ile sifa ambayo tulipewa wakati tunaumbwa.Mwanadamu aliyepewa sifa zile alishatoweka zamani sana,yaliyobaki ni makapi tu!
 
kama unawachukia hivyo
si uwe tu single parent.. usihangaike na nyumba ndogo..
maana hapo kuna wewe na wana .. watoto nao wanatakiwa
wa adopt maisha mapya na huyo nyumba ndogo.. au hujali
kuhusu wao pia..?

Huyo hawi introduced kwa watoto mambo ni chini ya carpet, watoto hawatajua kitu, hana ruhusa ya kuja nyumbani kwangu labda watoto wasiwepo.
 
I can see some hope there,walinde wanao wasije wakaja kukuumiza zaidi wakiharibikiwa. I just wish u could take it slower, u got so much hate in there u scare me.kila la kheri mama, Mungu akusaidie kwenye udhalimu huu. He is a merciful God,u know?
Huyo hawi introduced kwa watoto mambo ni chini ya carpet, watoto hawatajua kitu, hana ruhusa ya kuja nyumbani kwangu labda watoto wasiwepo.
 
Huyo hawi introduced kwa watoto mambo ni chini ya carpet, watoto hawatajua kitu, hana ruhusa ya kuja nyumbani kwangu labda watoto wasiwepo.

sounds like you have everything sorted..
haya mwaya mi nakutakia kila lakheri,
hope for the best prepare for the worst....
 
unamlaani mwanaume,
unataka mwanaume,
nakuhakikishia na ukimwi utaupata na hao watoto ndo watakuwa wakiwa,
kwani wewe dada vipi, si usepe ukae na watoto wako,
hakuna mwanaume yeyote atakayeweza kukutuliza moyo wako,
usipojituliza mwenyewe umekwisha.
 
Hivi kwanza huyu anataka ushauri au alikua anatoa taarifa?
 
lalaaaaaaaaa pole mama raha ya moto aijuae chungu ...........................kila la heri:shock:
 
Hivi kwanza huyu anataka ushauri au alikua anatoa taarifa?

Nawapa taarifa great thinkers

unamlaani mwanaume,
unataka mwanaume,
nakuhakikishia na ukimwi utaupata na hao watoto ndo watakuwa wakiwa,
kwani wewe dada vipi, si usepe ukae na watoto wako,
hakuna mwanaume yeyote atakayeweza kukutuliza moyo wako,
usipojituliza mwenyewe umekwisha.

You are very right........ but you are not ME.......read between the lines
 
Kama walivyosema members wengine hapo juu,hakuna anayejua what you went through and how much you were hurt. Lakini mama sikiliza ushauri wa wengi,take time to mend your broken heart before you find yourself in a worse situation. Maamuzi yako ya sasa yametawaliwa na hasira na chuki zaidi na hayawezi kuwa best.
 
Nyumba kubwa sirudi kamwe I swear jinsi nilivyoumia ni mpaka niwe nyumba ndogo kwanza kwa muda then ndio niwe single parent, hapo ndio nitaweza kujisamehe kwa kosa la kupenda nililowahi kufanya
masahihisho kidogo;
maana ya nyumba ndogo ni kwamba unakuwa upo ndani ya uhusiano/ndoa na unaamua kuwa na kidumu pembeni(whether formal or informal).
sasa kwakuwa wewe umeachana na ndoa/uhusiano wa kwanza na umetafuta mwingine(kwa ajili ya mahaba tu) basi huwezi sema ni nyumba ndogo.
the topic should have read; NIMEACHANA NA NDOA YA KWANZA NA SASA NIMEPATA MAMSAPU MWINGINE
i stand to be corrected.
ni hayo tu
 
Mie mwanamke!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom