Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,169
ndoa bila mapenzi si ndoa.
Mapenzi ni nini? maana nikiangalia mapenzi ya siku hizi kuna watu wengi hasa mjini wanaangalia kwanza kazi then baadae ndio taratibu taratibu mtu anaingia kwenye serious relationship, KAMA NDOA BILA MAPENZI SI NDOA nadhani watu wangekuwa wakikutana tu haichukui miezi 3 wanaoana lakini kwa kuwa mwanzo watu wana-test ndio utasikia watu wanakaa miaka kadhaa ndio wanaoa/kuolewa wengine wanaishiwa kutendwa. madamX hajasema anataka kuolewa na mtu ambae hampendi ila ametaja vigezo vya mwanaume ambae anadhani akiwa nae nafsi yake itakuwa safi.
Last edited by a moderator: