Nimeamua kula sahani moja na MAFREEMASONS.....

Kuna mgawanyo wa madaraka usidhan wote watakuma kama Obama au Maco Jako.

sasa Paxman kuna haja gani yakua mpinga kristo halafu niishie kupewa madaraka ya kuwagawia kahawa kina obana na kina kina wacko jacko,mim nilidhani mtu ukijiunga unakua loaded kama wao.
 
Last edited by a moderator:
nimekugongea like cheusi...topic babkubwa hii.....ila naona umeishusha hadhi kwa kuiweka chit chat...hiii ilitakiwa iwe jukwaa tukufu la habari na hoja mchanganyiko....i think.
 
nimekugongea like cheusi...topic babkubwa hii.....ila naona umeishusha hadhi kwa kuiweka chit chat...hiii ilitakiwa iwe jukwaa tukufu la habari na hoja mchanganyiko....i think.

thanx Jestina ila mi naona kama post zote za mambo ya freemasons zingewekwa chit chat ndo maana na hii nikaiweka huku,sababu ni kwamba kila mtanzania anadhani anawajua freemason lakini kila mmoja wao utamsikia akisema freemason wanafanya mambo yao kwa siri sana,sasa hebu jiulize kama freemason ni wasiri inakuwaje hadi kila mtanzania ajue siri zao?au siku hizi sio wasiri tena?freemason kweli wapo lkn huwezi kuwajua kama wewe sio freemason na kuwa freemason sio kirahisi rahisi kama wabongo wanavyoamini.Watu wakigoogle maromous ya kipuuzi kuhusu freemason basi tayari wanakuja hapa kudai wanazijui siri za freemason,hivi hao watu ni wazembe hadi siri zao zizagae hovyo kwenye mitandao kama kweli wao ni wasiri sana.KUGOOGLE NA KUSOMA MAMBO YALIYOANDIKWA KUHUSU FREEMASON SIO KUWAJUA FREEMASON naboreka kila siku htread zinaandikwa sijui freemason hivi sijui fulani ni freemason wakati watu hawajui lolote.Kama yupo humu ndani aliyewahi kukaa kwenye vikao vya mafreemason ambavyo wanaongea face to face na Lucifer huyu ndo naweza kumuelewa ila pia kama yupo sidhani kama atatoa siri za huko kwenye hivyo vikao,hivyo wengine wote tunadhani tunajua lakini hatujui kitu.
 
Last edited by a moderator:
ukisema nimejichokea ni kama wanijua vile cheusimangala
Sema mambo usiyoyajua lazma yakupe taabu
OTIS

mkuu OTIS najua hujachoka na wala sikujui na pia ninakuheshimu sana.
Ila ninachojua for sure ni kwamba watanzania sisi ni wajinga sana,ni rahisi kuwa na imani kali juu ya imani za vitu vya ajabu.Najua freemason wapo,lakini hizi habari za watu kujifanya wanaujua sana ufreemason vyanzo vyake ni nini kama sio google.Mim najuana na mtu ambaye ni freemason,ni mtu mzito huko ulaya,hadi kuna jumba la freemason liko scandnavia nimeshawahi kuingia,nilichojifunza ni kweli ni wasiri na hata ukiwa karibu nao hutagundua lolote la ajabu japo kuna vitu vitakupa maswali kichwani lakini siwezi kusema nawajua freemason pamoja na kwamba nishakunywa nao kahawa,kwa mdomo wao na sio kwa kugoogle wamesema huwezi kujiunga nao mpaka member mwenzao akupendekeze,na pia ni lazima uwe tajiri sana ndo na mtu mzito kwenye jamii ndo unakua member,lakini wabongo wanasema ukitaka kuwa tajiri ujiunge nao,hio sio kweli,freemason hawakufanyi uwe tajiri bali inawafanya powerful people kuwa more powerful.wewe niambie habari unazozijua za freemason umezijua wapi kama sio humu humu tu kwenye mitandao na romours kutoka kwa watu na au hayo magazeti ya shigongo yanayoandika mambo ya freemason wamepata wapi hizo habari kama sio mitandaoni.Wewe umeshawahi kukutana na member wa kweli wa freemason?sio hawa akina bob junior wenu mnaodai ni member,namaanisha mtu kama governor hivi wa marekani ukakaa naye akakuelezea ukweli wa mafreemason?Mim sio freemason na kama ni wapinga kristo hawatanipa maana mim namuamin Kristo lakini tuache kushikia bango mambo ambayo kamwe hatutajui ukweli wake.Tukizidi kudhan tunajua wakati hatujui lolote tutaishia kuuana kwa kudhaniana ni mafreemason maana ukivaa nguo fulani fulani ´tayari wewe ni masonic tuache ulimbukeni sisi tunachojua kwa hakika ni foleni za barabarani,mgao wa umeme,ufisadi,Hayo ndo hata mim naweza kusema najua jinsi kero ya mgao ilivyo lakini kutaka kujidai tunajua siri za kuzimu ni kujitia wenda wazimu tu maana bora mtu anayejijua hajui kuliko mazoba yanayodhani yanajua kumbe hayajui kitu.
 
hivi na wanawake wapo freemason.

Paxman soma vizuri uzi wangu.
Kama kuwa kafara basi karibia watanzania wote watakuwa kafara maana sasa hivi kila mtu anadhani anawajua freemason.
hata hiyo link mkuu uliyonipa nina uhakika wa asilimia zoote kuwa sio wa freemason wa ukweli,mim nina rafiki yangu ni mtu mzito kidogo huko majuu na yeye ni member wa hii organization.Anasema kwamba huwezi kujiunga na freemason mpaka mmoja wa ambao tayari ni member akupendekeze kisha viongozi wao watakuchunguza kuona kama unavigezo.
 
Hivi mnaona uvivu gani kusoma website za uhakika, ofisi zipo mjini dar, si muende tu? Mnaona raha gani umbea huu?
Watanzania wanashangaza sana.

ukienda kwenye ofisi zao utapata maelezo lkn sio kama haya yaliyoko kwenye mitandao kuwa ni wapinga kristo,Hadi vipeperushi vyao watakupa,watakueleza walivyoanza,malengo yao na jinsi walivyo na malengo ya kuifanya dunia iwe sehemu nzuri, maila hawatakwambia lolote la ajabu.Mim nimeshawahi kuwatembelea kwenye jumba lao fulani liko ulaya.Hata mim nawashangaa watanzania walivyomabingwa kwa kuamini amini vitu bila kuhoji source.
 
hivi na wanawake wapo freemason.

Freemasonry is a fraternity including men and women of every race, nationality and religion. Wishing to do away with all cause for division and strife, it continually seeks the means which to help all human beings to unite and work together for the perfection of Humanity.

American Co-Masonry, a Masonic Obedience independent of all others, has not created a new Rite. What distinguishes it from other existing Obediences is that, instead of admitting men only to its ranks, it admits women on an equal footing.
It proclaims equal rights for both sexes and absolute liberty of conscience.

In order to secure to everyone unlimited freedom in the search for truth, it demands the utmost tolerance from all its members.

It avoids political and religious discussions wherever these cannot be carried on with requisite tolerance and moderation; it welcomes everyone who is upright, free, of mature age, sound judgement and strict morals, whatever may be his or her convictions in matters of religion, philosophy or politics.

American Co-Masonry seeks to destroy ignorance under whatever form, and its program may be explained as follows: Each Mason owes obedience to the Order and to the laws of his or her country; he must live honorably, practice justice, love his neighbor, work unceasingly for the true happiness of humanity and help human beings to emancipate themselves from the thralldom of passion and ignorance.

From the first to the last, to whatever degree the aspirant may desire to be admitted, the first condition to be fulfilled is to have a reputation of unsullied honor and probity.

Members of the Order owe to each other help and support in all circumstances and conditions of life.
To think high, to speak truth, to do well, to be tolerant to others, to search after truth, to practice liberty under law, fraternal equality, justice and solidarity, are the duties which the Supreme Council of American Co-Masonry, prescribes for its members seeking to build to the Glory of the Great Architect of the Universe, to the perfection of Humanity, and to the service of the Head of All True Freemasons, the true Masonic Temple open to both men and women.
 
Hivi mnaona uvivu gani kusoma website za uhakika, ofisi zipo mjini dar, si muende tu? Mnaona raha gani umbea huu?
Watanzania wanashangaza sana.

Zile ofisi hauwez kuingia bila kuwa member ni lazima upendekezwe au uombe na kukubalika ndipo unaweza kugusa ndani ya freemasons Hall. Haika huwez gusa pale ndani kama hauhusiki. I mean ile lorge ya Posta kama vipi go and try sina uhakika kama kuna space for vistors kwa pale.
 
Last edited by a moderator:
mkuu OTIS najua hujachoka na wala sikujui na pia ninakuheshimu sana.
Ila ninachojua for sure ni kwamba watanzania sisi ni wajinga sana,ni rahisi kuwa na imani kali juu ya imani za vitu vya ajabu.Najua freemason wapo,lakini hizi habari za watu kujifanya wanaujua sana ufreemason vyanzo vyake ni nini kama sio google.Mim najuana na mtu ambaye ni freemason,ni mtu mzito huko ulaya,hadi kuna jumba la freemason liko scandnavia nimeshawahi kuingia,nilichojifunza ni kweli ni wasiri na hata ukiwa karibu nao hutagundua lolote la ajabu japo kuna vitu vitakupa maswali kichwani lakini siwezi kusema nawajua freemason pamoja na kwamba nishakunywa nao kahawa,kwa mdomo wao na sio kwa kugoogle wamesema huwezi kujiunga nao mpaka member mwenzao akupendekeze,na pia ni lazima uwe tajiri sana ndo na mtu mzito kwenye jamii ndo unakua member,lakini wabongo wanasema ukitaka kuwa tajiri ujiunge nao,hio sio kweli,freemason hawakufanyi uwe tajiri bali inawafanya powerful people kuwa more powerful.wewe niambie habari unazozijua za freemason umezijua wapi kama sio humu humu tu kwenye mitandao na romours kutoka kwa watu na au hayo magazeti ya shigongo yanayoandika mambo ya freemason wamepata wapi hizo habari kama sio mitandaoni.Wewe umeshawahi kukutana na member wa kweli wa freemason?sio hawa akina bob junior wenu mnaodai ni member,namaanisha mtu kama governor hivi wa marekani ukakaa naye akakuelezea ukweli wa mafreemason?Mim sio freemason na kama ni wapinga kristo hawatanipa maana mim namuamin Kristo lakini tuache kushikia bango mambo ambayo kamwe hatutajui ukweli wake.Tukizidi kudhan tunajua wakati hatujui lolote tutaishia kuuana kwa kudhaniana ni mafreemason maana ukivaa nguo fulani fulani ´tayari wewe ni masonic tuache ulimbukeni sisi tunachojua kwa hakika ni foleni za barabarani,mgao wa umeme,ufisadi,Hayo ndo hata mim naweza kusema najua jinsi kero ya mgao ilivyo lakini kutaka kujidai tunajua siri za kuzimu ni kujitia wenda wazimu tu maana bora mtu anayejijua hajui kuliko mazoba yanayodhani yanajua kumbe hayajui kitu.

Umenena vyema cheusimangala
Watz ni mabingwa wa kushabikia mambo wasiyoyajua na kumbatiza kila mtu freemason
Hili lachangiwa na elimu lakini pia hata exposure ya wengi.
Mtu akiona kanumba kaigizi hivi basi inakuwa mtaani kila alie na fedha ni freemason
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom