Nimeamua kujiunga na CCM

Kwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA kingekuwa madarakani kisengeruhusu kusemwa hv kama CCM inavyotoa uhuru wa kukosolewa na Rais Kikwete anatufundisha tuvumiliane mpaka tutakapozoea kusema na kusemwa.

Ushahidi ni jinsi tu mwenyekiti Mbowe anavyopingwa kwenye kikao na Zitto na kumtumia Lema kumshambulia Zitto, je siku wakiwa ikulu atakubali magazeti ya mpinge?

Tumaini letu

Ujiunge na CCM mara ngapi wewe???
Acha porojo na propanga za Magamba hapa. Jinga kabisa.
Tunakujua wewe ni Mwana-Chama Cha Magamba-CCM tangu enzi na enzi.

Demokrasia iliyoko CCM ni ipi? Hii ya KULINDANA MAFISADI KWA MAFISADI? CCM tunawajua kabisa siku zote hamtaki kukosolewa. Ushahidi uko wazi kabisa. Nikuulize maswali rahisi kabisa ambayo naamini huwezi kuyapatia majibu:
  1. Kwanini Kolimba alipoikosoa CCM kwa kusema kimepoteza dira na mwelekeo mkaamua kum-Kolimba?
  2. Kwanini Spika wa Bunge lililopita Sammy Sitta amenyang'anywa kiti cha Usipika kwa Kukemea na Kukosoa UFISADI?
  3. Kwanini Amina Chifupa aliuawa baada ya kusema kuwa kuna vigogo wa CCM/Serikali wanafanya biashara za Unga(Dawa za kulevya)?
  4. Kwanini Mkurugenzi wa zamani wa TBC- Tido Mhando ameondolewa kwenye nafasi yake baada ya kuruhusu TBC kurusha vipindi vya kukosolewa kwa CCM waziwazi?
Kama utaweza kupata majibu ya haya maswali kwa usahihi wake basi tutasema CCM kuna Demokrasia ya kweli. Nina hakika huna majibu yake. Kwa hiyo wewe endelea kubaki huko huko CCM hatukutaki maana wewe ni mmojawapo wa vibaraka wa CCM!
 
Dah Kaazi kweli kweli ni Sawa na Makamba leo aseme ameamua Kujiunga CCM. Mwenzetu ulikuwa Chama gani kabla ya Hapa?
 
Tumaini letu

Ujiunge na CCM mara ngapi wewe???
Acha porojo na propanga za Magamba hapa. Jinga kabisa.
Tunakujua wewe ni Mwana-Chama Cha Magamba-CCM tangu enzi na enzi.

Demokrasia iliyoko CCM ni ipi? Hii ya KULINDANA MAFISADI KWA MAFISADI? CCM tunawajua kabisa siku zote hamtaki kukosolewa. Ushahidi uko wazi kabisa. Nikuulize maswali rahisi kabisa ambayo naamini huwezi kuyapatia majibu:
  1. Kwanini Kolimba alipoikosoa CCM kwa kusema kimepoteza dira na mwelekeo mkaamua kum-Kolimba?
  2. Kwanini Spika wa Bunge lililopita Sammy Sitta amenyang'anywa kiti cha Usipika kwa Kukemea na Kukosoa UFISADI?
  3. Kwanini Amina Chifupa aliuawa baada ya kusema kuwa kuna vigogo wa CCM/Serikali wanafanya biashara za Unga(Dawa za kulevya)?
  4. Kwanini Mkurugenzi wa zamani wa TBC- Tido Mhando ameondolewa kwenye nafasi yake baada ya kuruhusu TBC kurusha vipindi vya kukosolewa kwa CCM waziwazi?
Kama utaweza kupata majibu ya haya maswali kwa usahihi wake basi tutasema CCM kuna Demokrasia ya kweli. Nina hakika huna majibu yake. Kwa hiyo wewe endelea kubaki huko huko CCM hatukutaki maana wewe ni mmojawapo wa vibaraka wa CCM!

Kwa kweli demokrasia ndani ya CCM ni kubwa kuliko kati vyama vya upinzani, mfano CDM maamuzi yote yanafanywa na Mbowe, viongozi waliobaki ni bendera fuata upepo. Pia nyie wengine mupate ufahamu kuwa CCM imejitathmini na kufikia uamuzi wa kujivua magamba ili kiwatumikie watanzania kikamilifu, semina elekezi ya viongozi wakuu wa serikali pale Dodoma ni mwendelezo wa kujivua magamba kwa nia ya koboresha utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2010 ambayo watanzania walipigia kura!
 
Toeni Tathmini ya Kujivua Gamba Vs Maandamano ya CHADEMA
 
Kwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA kingekuwa madarakani kisengeruhusu kusemwa hv kama CCM inavyotoa uhuru wa kukosolewa na Rais Kikwete anatufundisha tuvumiliane mpaka tutakapozoea kusema na kusemwa.

Ushahidi ni jinsi tu mwenyekiti Mbowe anavyopingwa kwenye kikao na Zitto na kumtumia Lema kumshambulia Zitto, je siku wakiwa ikulu atakubali magazeti ya mpinge?

Hakuna chama dunianiambacho kiko perfect kila chama kina mapungufu yake n inawezekana vikafanana. Ulichofanya ni kuamua kunywa Fanta au Cocacola au Yoghurt badala ya maziwa fresh au maji badala ya chai. Kwa hiyo ukifanya uamuzi wa namna hiyo usitushawishi kwamba ulichochagua kunywa ndicho bora kuliko ulicho acha. Ukiacha kunywa fanta badala ya cocacola usitukane wanaokunywa cocacola kwani nao pia wamefanya choice kama wewe. kila mtu ana choice yake na si lazima wachague unachokitaka wewe la sivyo utakuwa na mtazamo finyu sana mkuu kutoa conclusion ya CHADEMA VS CCM katika basis nyembamba namna hiyo.

THINK TWICE BEFORE YOU CONCLUDE LA SIVYO HISTORY WILL DEFINITELY JUDGE YOU FOR LACKING CONVINCING EVIDENCE
 
ccm nimoja tu mengine yko cdm nilipokuwa tulikuwa na kundi zito,mbowe,slaa na lalema linaanza
Kuna ccm-mtandao I; ccm -mtandao II; ccm-itikadi; ccm-magamba; au ccm-nusu kaputi Ni ccm ipi hasa inajiunga nayo Tumaini letu<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" />
<br />
<br />
 
Kwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA kingekuwa madarakani kisengeruhusu kusemwa hv kama CCM inavyotoa uhuru wa kukosolewa na Rais Kikwete anatufundisha tuvumiliane mpaka tutakapozoea kusema na kusemwa.

Ushahidi ni jinsi tu mwenyekiti Mbowe anavyopingwa kwenye kikao na Zitto na kumtumia Lema kumshambulia Zitto, je siku wakiwa ikulu atakubali magazeti ya mpinge?

Hili nalo neno......................
 
Pole sana sijui utaingiaje nawe una Gamba, ila usiwe na wasi subiri kikao cha Nape orodhesha jina lako chukua mshiko na wakati wa kukabidhi kadi omba Mic ropoka kidogo na kama utaropoka vizuri utaongezwa mshiko na kazi ya kuanzisha thread za kipuuzi utapewa.
 
CHADEMA hawatajenga mazingira ya kuwa na mpungufu mengi. Msingi mkuu wa kukosolewa ni utendaji mbovu, sasa kwanini utende makosa ili ukosolewe? CCM ni mabingwa wa kuharibu ndo maana wakosoaji wamekuwa wengi. CHADEMA watafanya kadiri ya uwezo wao kutatua kero zitakazopunguza au kuondoa kabisa kosoa kosoa isiyokuwa na tija kwa taifa
 
Kwa kweli demokrasia ndani ya CCM ni kubwa kuliko kati vyama vya upinzani, mfano CDM maamuzi yote yanafanywa na Mbowe, viongozi waliobaki ni bendera fuata upepo. Pia nyie wengine mupate ufahamu kuwa CCM imejitathmini na kufikia uamuzi wa kujivua magamba ili kiwatumikie watanzania kikamilifu, semina elekezi ya viongozi wakuu wa serikali pale Dodoma ni mwendelezo wa kujivua magamba kwa nia ya koboresha utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2010 ambayo watanzania walipigia kura!

Wewe mafilifili kweli maganba gani yaliyo vuliwa? Nyoka anaanziya kicwa kujivuwa gamba hao vigogo kwanini wasijivuwe gamba? akinamakamba na wenzawo wanajivuwa wanalisisha watoto wawo ccm inawenyewe nawenyewe ndowanao lisishana madalaka
 
Kwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA kingekuwa madarakani kisengeruhusu kusemwa hv kama CCM inavyotoa uhuru wa kukosolewa na Rais Kikwete anatufundisha tuvumiliane mpaka tutakapozoea kusema na kusemwa.

Ushahidi ni jinsi tu mwenyekiti Mbowe anavyopingwa kwenye kikao na Zitto na kumtumia Lema kumshambulia Zitto, je siku wakiwa ikulu atakubali magazeti ya mpinge?

Nimefurah kusikia kuwa umeujua ukweli.Hiyo ndo mifumo ya viongoz wote wa vyama vinavyo ongozwa na Wachga
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom