Nimeamua kujiajiri ila natafuta kazi ya aina hii kwasababu hii

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Habari ndugu zangu,

Mie nimetumikia industry ya Media upande wa Printing, Design, Social Media Management na Video Production kwa miaka 3 sasa. Nimeamua kujiajiri kwa kuwa na kampuni ya Web Design & Development, kazi ambayo inahitaji Laptop yangu tu na ninaweza kuifanyia nyumbani.

Changamoto niliyonayo ni anuani, yaani wakati mwingine wateja watahitaji wanitembelee nilipo, kwahiyo ni lazma niwe na kituo. Lakini mtaji wangu haukutosheleza kujifungulia ofisi au kuchukua fremu mahali.

Sasa nahitaji kijiwe cha washkaji (Web & Graphic Designers) waliojishika pamoja kwenye fremu eneo flani ili hicho kiwe kituo changu pia au kuajiriwa (kwa makubaliano maalumu k.v. kukufanyia kazi zako zinazomatch skillset yangu kwa bure au nusu mshahara kutegemeana na wingi wake) na wewe utaniruhusu kuwa nakuja ofisini kwako kama mfayakazi wa kawaida lakini nina Uhuru wa kutoka muda wowote kwenda kumuona mteja aliyeniita.

Tayari nina Domain yangu na Website italaunch hivi karibuni. Please PM me if you are touched to support my entrepreneurship efforts.
 
All the best mkuu, nikisikiaga hili neno nimeamua kujiajiri natikisika sana kwani ndio ndoto yangu..hope watakuja kukupa ushauri zaid.
 
Habari ndugu zangu,

Mie nimetumikia industry ya Media upande wa Printing, Design, Social Media Management na Video Production kwa miaka 3 sasa. Nimeamua kujiajiri kwa kuwa na kampuni ya Web Design & Development, kazi ambayo inahitaji Laptop yangu tu na ninaweza kuifanyia nyumbani.

Changamoto niliyonayo ni anuani, yaani wakati mwingine wateja watahitaji wanitembelee nilipo, kwahiyo ni lazma niwe na kituo. Lakini mtaji wangu haukutosheleza kujifungulia ofisi au kuchukua fremu mahali.

Sasa nahitaji kijiwe cha washkaji (Web & Graphic Designers) waliojishika pamoja kwenye fremu eneo flani ili hicho kiwe kituo changu pia au kuajiriwa (kwa makubaliano maalumu k.v. kukufanyia kazi zako zinazomatch skillset yangu kwa bure au nusu mshahara kutegemeana na wingi wake) na wewe utaniruhusu kuwa nakuja ofisini kwako kama mfayakazi wa kawaida lakini nina Uhuru wa kutoka muda wowote kwenda kumuona mteja aliyeniita.

Tayari nina Domain yangu na Website italaunch hivi karibuni. Please PM me if you are touched to support my entrepreneurship efforts.
Mimi nakushauri kitu kimoja, kuwa competent but SIMPLE! Kukodi ofisi sio kazi kubwa sana as long as unapenda kazi yako, upo focused na unajiamini. Tafuta fremu ya sh 50,000/= kando ya mji na kisha fanya kazi zako hapo. Ni wateja wachache tu ambao watahitaji sana kufika ofisini kwako, kwa hiyo ukijisikia unaenda ofisini au unafanyia nyumbani; pia unaweza kuwafuata wateja wako walipo. Huna aja ya kuanza na ofisi ya anasa, anza na ya BEI NAFUU LAKINI YA KWAKO.
 
Habari ndugu zangu,

Mie nimetumikia industry ya Media upande wa Printing, Design, Social Media Management na Video Production kwa miaka 3 sasa. Nimeamua kujiajiri kwa kuwa na kampuni ya Web Design & Development, kazi ambayo inahitaji Laptop yangu tu na ninaweza kuifanyia nyumbani.

Changamoto niliyonayo ni anuani, yaani wakati mwingine wateja watahitaji wanitembelee nilipo, kwahiyo ni lazma niwe na kituo. Lakini mtaji wangu haukutosheleza kujifungulia ofisi au kuchukua fremu mahali.

Sasa nahitaji kijiwe cha washkaji (Web & Graphic Designers) waliojishika pamoja kwenye fremu eneo flani ili hicho kiwe kituo changu pia au kuajiriwa (kwa makubaliano maalumu k.v. kukufanyia kazi zako zinazomatch skillset yangu kwa bure au nusu mshahara kutegemeana na wingi wake) na wewe utaniruhusu kuwa nakuja ofisini kwako kama mfayakazi wa kawaida lakini nina Uhuru wa kutoka muda wowote kwenda kumuona mteja aliyeniita.

Tayari nina Domain yangu na Website italaunch hivi karibuni. Please PM me if you are touched to support my entrepreneurship efforts.

nitafute 0658644485
 
Back
Top Bottom