Nimeamua kuhama rasmi CHADEMA nimehamia NCCR MAGEUZI

Hauna lolote kwani wewe ni mbabaishaji kwa hyo hata uchungaji wako unanipa wasiwasi hata kwa unao waongoza,nenda kafie mbali udini unao ww na it seems kwamba ww ni bonge la mkuda
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

Mke wako umemwambia? nadhani jiandae kuachwa na mke wako kwa upuuzi huu ulioufanya kama ni kweli....
 
Nakupongeza kwa uamuzi wako wa kuamua kutoka chama cha kanisa ila huko unakokwenda sijui kama umefikiria kwa makini kweli.
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania
Haumjui kafulila wewe
 
Ni haki yako ya kikatiba. Hata hivyo akili yangu inagoma kama wewe ni mchungaji,mimi nadhani wewe ni mwanamagamba toka bakwata,na unatumia ID hii katika kutekeleza usanii wako.
 
wadungu, jf
mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka chadema na kuamia nccr mageuzi kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

Kilichonikimbiza chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya chadema, nimeogopa kumkosea bwana, nilitaka kuamia ccm lakini huko nako kumeoza sana masheikh na maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa ccm, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana chadema humu jf kuna wakati wana chadema jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana chadema wanamtetea dr.w. Slaa. Mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

Kiti kingine ni uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini david kafulira..
Mungu ibariki tanzania

hama mzee wewe ulikuwa mzigo katika chama. Kuwepo au kuhama chama hakutaathiri chama kwa namna yoyote. Wewe unahama wengine mia wanajiunga.
 
Kwanza niwaambie wanaforum watanzania inabidi tuwe matured si ametumia uhuru wake wa KATIBA YA KUJIUNGA CHAMA anachopenda na pengine alitaka kuwaambia wafuasi wenzake kwua amehama kwenye nyumba hiyo amepata majirani wapya ugomvi wa nini ndio uhuru wa Democracy huo tupunguze jazba na ufuasi , Niwaulize wanachadema kesho NApe akijiunga na Chadema si mutashangilia na yuko njiani nasikia kujiunga huko sasa au mutamsema kwa vile amejiunga huko ?
 
ukiboreka Nccr,Karibu pia ujaribu huku kwetu! PPT-maendeleo!wana maendeleo halisi.
 
WanaJF msisumbuke, baada ya kufuatilia post za huyu anayejiita mtumishi wa mungu, bila shaka ni mungu wa mbao, anaonekana kuwa kama yule jamaa ambaye malaria imempanda kichwani. Ameamua kutumia ID nyingine tu.
 
Mtumishi wa Mungu, wafundishe Waumini wako juu ya Yesu aliyefanya mambo mengi ambayo natumaini Waumini wako Mengi Hawayafahamu.
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

Mwanaume kwenda kuungana na mwanaume mwenzio ni hatari sana kwani wewe ni wa kike au wa kiume?
 
Mfa maji haachi kutapatapa, badala ya kuondoa tatizo unakimbia huko NCCR ndo utaweza????????????? Huna lolote na unaonekana hujiamini................. waache wanaume wachape kazi, ukabila na udini Tanzania haina labda uanzishe wewe na post zako za ajabu....
 
Nakupongeza kwa uamuzi wako wa kuamua kutoka chama cha kanisa ila huko unakokwenda sijui kama umefikiria kwa makini kweli.
Kweli kabisa hajafikiria kwa makini manake angefikiria kwa makini angehamia kwenye chama cha msikiti a.k.a ccm! Hebu wasiliana na bakwata wamshauri vizuri.
 
Mkuu, mi nakushauri UACHE kumchezea Bwana kwenye masuala yako ya kisiasa. Siamini kama MTUMISHI wa kweli wa Mungu anaweza kum-inject Mungu kirahisirahisi hivyo kwenye masuala yasiyo na mashiko. Labda kama wewe ni "mpakwa matope" wa "mungu" na siyo "Mpakwa mafuta" wa "Mungu"!
 
Back
Top Bottom