Elections 2010 Nimeamini Sheikh Yahaya ni Kiboko

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,032
79,014
Kwa jinsi mambo yalivyoenda leo mchana huu naona kigagula Yahaya si muchezo jamaa kidogo achungulie Jehanamu ameishia lango la kuzimu! Ama kweli ushirikina hauna maana kama Sheikh Yahaya angesema Mkulu akigombea atakufa nina uhakika Usalama wa Taifa wangekula nae sahani moja kwa kutishia kifo au uhaini lakini wamesemwa wabaya wake Mkulu akakenua meno sasa naona Sheikh Yahaya kalikoroga na limemrudia Mkulu mwenyewe! Ohooo jamani tuwe macho ndo safari hiyo kwa mkulu! utabiri uko njiani na utatimia chondechonde Sheikh Yahaya anamtoa kafara Mkulu!!!
 
Geza, hivi Invi' akiifutilia mbali hii thread, utalalamika?.
Najua kuna jokes na jokes, lakini hizi nyingine zinakwenda kwenye the extreme!.
 
we tulia ushirikina hulipwa kwa ushirikina Mkulu ashabemendwa kilichobaki wamcheki akili kama yuko fit to rule
 
Am still blind of what happened.
Hii ya kuanguka jukwaani inakuwaje jamani?
Je hakufuata ushauri wa madaktari wake tena au ndo ile walimzidishia kiwango cha kazi?

Nadhani anapaswa kuongozwa huyu sasa maana hii ya kujiamulia amulia mwenyewe kila kitu itamfikisha mahala akawa nova
 
MMMHHH jamani

Yanayomsumbua Mkulu ni mapepo aliyoyabeba kwenye pete zake anazovaa. Wampeleke kwa Kakobe akamwombee yamtoke kisha aongozwe sala ya toba aokoke, vinginevyo hayo mapepo yatamuua maana kila akienda Bwaga anaongezewa mapepo yenye nguvu kibwa zaidi kuliko ya kwanza!
 
MKUU umenikumbusha hiyo pete uwa najiuliza maswali mengi
mtu kuvaa pete ya mjini (Sheih Yahya??)
 
AMEN! Hadi ukamilifu wa dahari, hakuna jiwe litakalo baki juu ya jiwe lingine, vyote vitajulikana kabisa.
 
Yanayomsumbua Mkulu ni mapepo aliyoyabeba kwenye pete zake anazovaa. Wampeleke kwa Kakobe akamwombee yamtoke kisha aongozwe sala ya toba aokoke, vinginevyo hayo mapepo yatamuua maana kila akienda Bwaga anaongezewa mapepo yenye nguvu kibwa zaidi kuliko ya kwanza!

Hao wakina Kakobe kwanini wasiwaombee wachungaji wanao batuana na wale wanao walawiti watoto? sindio haohao wanaoongoza hizo sala unazo ziamini?, Tuajaribuni kidogo kutumia akili badala ya kuburuzwa na hizi imani potofu

Kama unaamini Mungu au Science hivi vitu vinaweza kumtokea yoyote, awe Mchungaji, Padre au Sheikh. TUACHE KEJELI za kipuuzi !!! Wakovu wangapi walianguka spritually na physcally?
 
Back
Top Bottom