Nimeamini ITV is the Best. Walicho kificha jana TBC, nimekiona leo kupitia ITV

umeona ee .ila nji hii kWA HILA,WANAWEZA KUMFANYIA VISA MZEE MENGI.ILA TBC NI JANGA LA TAIFA,NI CHOMBO CHA MTU BINAFSI OR?
Sio rahisi hawa wanasiasa uchwara wa sasa (refer alichosema mwenzao Rostam) kuizuia ITV maana yenyewe imekuwepo kabla wao hawajajua hata kama kuna siasa.
Pia angalia jinsi ITV ilivo consistent katika kipindi walichokuwepo cha karibi miaka 20, hii ni katika vipindi, logo, na brands zingine
 
Yaa! ilikua ni fullu drama, kidogo zipigwe laivu, Sugu alishapandisha Mzuka. Hii tulikua tunaona Mabunge ya nje tu, Sasa imefika kwetu. Nadhani ni Utamaduni Mzuri, hii inaonekana watu wapo serious kikazi zaidi, kupaka wanja. Muda wa kulala bungeni saa umekwisha.

Zamani watu walikua wanalala tu ndani ya Mjengo. I think Multipartism, is doing its intended Job. Big up Opposition Parties. Bila ya Nyinyi, Haya yote yasingetokea.

You are doing a good job, keep up the Spirit, together we can.
 
Viongozi wa bunge wakiwa Spika na Naibu wake ndio wanaoharibu utaratibu wa bungeni kwa kuendekeza ushabiki wa kichama; Serukamba, Nkamia , Lusinde na Nchemba wametukana matusi mazito ya nguoni lakini hawakuchukuliwa hatua zozote lakini pale opposition wanapotaka kutumia haki yao ya kuomba muongozo wananyimwa!!! Kwa kuwanyima haki yao ya kuwawakilisha wale waliowachagua, viongozi wa bunge wanahatalisha amani!!
 
Hata ukionesha jinsi utoto na upuuziaji wa hisia za wananchi unaofanyika huko bungeni, wastaarabu hawapendezewi kuuona. Kwani kuna haja gani kuwaonesha wananchi uchakaramu ulionao? Ndio kwanza walio wengi wanazidi kuichukia demokrasia kwamba kumbe ni njia hasa ya kuwapeleka kuzimu aliko shetani.
 
Hivi hili Shirika la Utangazaji TBC, ni kwa maslahi ya nani? Jana wakati Naibu Spika wa Bunge alipo amuru Askari wa Bungeni Kumtoa Nje Tindu Lisu, kwanza TBC waliondoa Sauti za Vurugu iliokua inaendelea, na kama haitoshi wakafunga kabisa matangazo ya Bunge.

Nawashukuru ITV, kwani katika taarifa ya leo Ya saa tano Usiku, wameonyesha full drama ilivyokua.

TBC ni Wazugaji tu.
Siwezi pata ITV je na lile tusi la kijana wa JK walilionesha?
 
Hivi hili Shirika la Utangazaji TBC, ni kwa maslahi ya nani? Jana wakati Naibu Spika wa Bunge alipo amuru Askari wa Bungeni Kumtoa Nje Tindu Lisu, kwanza TBC waliondoa Sauti za Vurugu iliokua inaendelea, na kama haitoshi wakafunga kabisa matangazo ya Bunge. Nawashukuru ITV, kwani katika taarifa ya leo Ya saa tano Usiku, wameonyesha full drama ilivyokua. TBC ni Wazugaji tu.
sema wewe ni Pro ITV ! mbona tv zote walionesha star tv ,channel ten,mlimani na hiyo ITV?
 
Hivi hili Shirika la Utangazaji TBC, ni kwa maslahi ya nani? Jana wakati Naibu Spika wa Bunge alipo amuru Askari wa Bungeni Kumtoa Nje Tindu Lisu, kwanza TBC waliondoa Sauti za Vurugu iliokua inaendelea, na kama haitoshi wakafunga kabisa matangazo ya Bunge.

Nawashukuru ITV, kwani katika taarifa ya leo Ya saa tano Usiku, wameonyesha full drama ilivyokua.

TBC ni Wazugaji tu.

Kuna wadau wamewahi omba ITV igeuzwe iwe Televisheni ya Taifa
 
Nakumbuka kipindi kile cha Uchaguzi Mkuu, wao na TANESCO ni kama walikuwa wanashirikiana...kama si wao kukata matangazo ya kampeni za Wapinzani basi TANESCO walikuwa wanakata umeme wakati wa hotuba au midahalo ya Wapinzani
 
vp kikanuni Ndugai yuko sahihi ama? tujuzeni kabla mama "thank u very much" hajatoa muongozo leo.

Ni 'thank u vere machee', sio ka inavyosomeka apo.

Pia sijapenda kwanini waonyeshe saa 5 usiku na wasirudia kesho yake saa mbili usiku?
 
Mkuu,
Hana cha maana huyu na ni miongoni mwa watu hatari sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Yeye ni chama tu na hana uchungu na waTZ wanaotaabika kwa maisha magumu yanayosababishwa na chama chake cha wezi.

ANATUMIKA KULICHONGANISHA KANISA NA SERIKALI Kwa kulihusha na CHADE MA. Viongozi wa dini muwe macho na huyu mtu
 
Nilishangaa jinsi Ndugai alivyokuwa anapiga kelele kama aliyechanganyikiwa! Mimi kabla ya hapo nilidhani Lissu katoa tusi kubwa zaidi ya Serukamba, kumbe alikuwa anaomba miongozo na taarifa ambazo ni sehemu ya kazi yake bungeni! I can't believe!
 
TBC inakera xana kiukweli. yaan cna hata mda nao coz they are very stupid . wanatufanya cc kama wtt wdg:smile-big:
 
Back
Top Bottom