Nimeambiwa ananipenda anataka niwe naye kwa kesho kwenye Valentine

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF mambo vip? Jamani mwenenu nimetumiwa sms na mpenzi wangu wa zamani tuliyekuwa tumeachana naye kwa kipindi kilefu ananiambia eti anataka kuwa nami kesho ili tuisherehekee sikuku ya valentine Jamani nisaidieni huyu ni mkweli
 
Sidhani kama anakupenda kwa maana ya kukupenda kweli, mi nahisi anatafuta kidate cha kesho tu!!
 
Valentine is cancelled. It is officially confirmed mathematically that 14-02-12=0. Endelea na shughuli zako tu
 
kesho ni siku ya wapendanao. mngekuwa mnapendana msingeachana unless kama kuna interest behind
 
wanajf mambo vip? Jamani mwenenu nimetumiwa sms na mpenzi wangu wa zamani tuliyekuwa tumeachana naye kwa kipindi kilefu ananiambia eti anataka kuwa nami kesho ili tuisherehekee sikuku ya valentine jamani nisaidieni huyu ni mkweli

jina lako tu ni jibu kwa swali lako. Sasa sisi tukushauri nini?
 
Amekuona wewe unafaa kuwa kiburudisho chake kwa siku hiyo tu ya valentine day!!! :lol:
 
WanaJF mambo vip? Jamani mwenenu nimetumiwa sms na mpenzi wangu wa zamani tuliyekuwa tumeachana naye kwa kipindi kilefu ananiambia eti anataka kuwa nami kesho ili tuisherehekee sikuku ya valentine Jamani nisaidieni huyu ni mkweli

Kama huna mtu wakutoka nae na unahic moyo wako uko tayari kutoka na mshkaj kwanin ujibane? We jiache
 
Mpe tu kwani hiyo ni sikukuu ya ukweli? mambo kudanganyana tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom