Nimeachwa kisa ni mtandao fulani wa kijamii

Jun 12, 2012
8
1
Jaman nimeachwa kisa ni mtandao mmoja hivi wa kijamii, sio kwamba nilikua nautumia vibaya wala nini!! Ila ilifikia mda nikaambiwa mambo yangu yote anayajua kwahiyo mimi na yeye tusijiane!! Nimejaribu kuomba msamaha bila hata kosa kutokulijua ila vimeshindikana, naombeni ushauri wenu wa hali na mali wanajamii wenzangu!
 
Mtandao upi huo? JF au facebook? Unapoomba samahani inaonyesha ulitenda kosa sasa kama huoni tatizo la kuweka kosa lako hapa basi fanya hivyo. Hata siku moja huwezi kuomba msamaha kama huna kosa.

wewe hukutumia vibaya mtandao, sasa ulikuwa unaomba msamaha dhidi ya kosa gani ulilofanya? au msamaha wako unatokana na nini?. tujifunze kutetea ukweli, hiyo ndo njia ya kuonyesha upendo na kujali kwa kweli. siku nyingine usiombe msamaha kwa kosa ambalo hukutenda.mimi nikikugundua unaomba msamaha kwa kitu ambacho hujakosa, ninakukimbia, wewe ni hatari
 
Jaman nimeachwa kisa ni mtandao mmoja hivi wa kijamii, sio kwamba nilikua nautumia vibaya wala nini!! Ila ilifikia mda nikaambiwa mambo yangu yote anayajua kwahiyo mimi na yeye tusijiane!! Nimejaribu kuomba msamaha bila hata kosa kutokulijua ila vimeshindikana, naombeni ushauri wenu wa hali na mali wanajamii wenzangu!

Je alikupa japo warning kabla ya kukuacha na ukakiuka? kama ndivyo labda umekuwa so addicted na kama sivyo nadhani an upeo finyu sana kukuacha kwa sababu ya hilo. nadhani tulia kwanza huenda antajistukia aiporudi inabidi umsahau na u move on.
 
Best wangu BAK, wakati mwingine unapoomba msamaha haimaanishi kuwa umekosea ama umekubali kosa. Inaonesha ni kiasi gani unajali uhusiano wenu kuliko your right to be right.

Shosti, pole. If it was meant to be atakuja mwenyewe akikumbana na ukweli. If u love something, let it go! If it comes back, it is urs for keeps.
Mtandao upi huo? JF au facebook? Unapoomba samahani inaonyesha ulitenda kosa sasa kama huoni tatizo la kuweka kosa lako hapa basi fanya hivyo. Hata siku moja huwezi kuomba msamaha kama huna kosa.
 
Last edited by a moderator:
Hujaweka wazi mtandao na huyo aliyekuacha alikuwa kicheche
 
Inategemea unadeal na mtu wa aina gani, mwingine anaweza kukuelewa kama huyu anajali sana mahusiano yetu ndio maana ameomba samahani mwingine ndio inaweza kuwa kitanzi cha kumtosa mpenzi.

Best wangu BAK, wakati mwingine unapoomba msamaha haimaanishi kuwa umekosea ama umekubali kosa. Inaonesha ni kiasi gani unajali uhusiano wenu kuliko your right to be right.

Shosti, pole. If it was meant to be atakuja mwenyewe akikumbana na ukweli. If u love something, let it go! If it comes back, it is urs for keeps.
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo (baya/zuri) linalokutokea. Mwisho wa jambo fulani zuri ni mwanzo wa jambo jingine zuri zaidi.
 
Lol. Haya best. Ila kama mpenzi akiamua kukuvisha kitanzi dawa yake ni kujivua tu. Manake hata kuonewa. (Sawa na kuvutana kamba) ndo kujinyonga zaidi.
Inategemea unadeal na mtu wa aina gani, mwingine anaweza kukuelewa kama huyu anajali sana mahusiano yetu ndio maana ameomba samahani mwingine ndio inaweza kuwa kitanzi cha kumtosa mpenzi.
 
Achana naye next ataachwa yeye. Alikuwa anakutafutia sababu nawe kwa kumpenda sanaa uka kurupuka kuomba msamaha. Hata hivyo uwe muwazi kwa mwenza wako utakaempata.
 
ila hii mitandao ya kijamii kwa kweli ina utata sana tu, kwa wenye hasira za karibu lazima ummwage mtu.

Dalili ya mvua ni . . .
 
Jaman nimeachwa kisa ni mtandao mmoja hivi wa kijamii, sio kwamba nilikua nautumia vibaya wala nini!! Ila ilifikia mda nikaambiwa mambo yangu yote anayajua kwahiyo mimi na yeye tusijiane!! Nimejaribu kuomba msamaha bila hata kosa kutokulijua ila vimeshindikana, naombeni ushauri wenu wa hali na mali wanajamii wenzangu!
Omba ruhusa kwa Preta akikubali ntakusaidia!!
 
Last edited by a moderator:
ila hii mitandao ya kijamii kwa kweli ina utata sana tu, kwa wenye hasira za karibu lazima ummwage mtu.

Dalili ya mvua ni . . .

Kufanya kosa sio kosa,ila kurudia kosa ndio kosa.

Embu tazama,kaachwa kwa ajili ya mtandao wa kijamii,then anaomba ushauri katika mtandao wa kijamii.

Ngoja aachike kijamii vilevile.
 
Wanaume wa siku hizi wana mambo mtu hata hajaoa lakini anakupangia mambo utafikiri baba ako! akhaaa..
 
Back
Top Bottom