Nime-mmiss Ulimboka

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Nilisali sana arudi salama ili tujue nini kilimtokea kisha tuwamulike wahusika, sasa naanza kuhisi kama nata ku-reverse sala zangu; ila jamaa ndio kapona kisha kaingia mitini - jiiiiiiiiiii! Ukweli umebaki kitendawili..........
 
Ah! Asubuhi yote hii upo chicha? Tutajenga nchi kweli?
 
Nilisali sana arudi salama ili tujue nini kilimtokea kisha tuwamulike wahusika, sasa naanza kuhisi kama nata ku-reverse sala zangu; ila jamaa ndio kapona kisha kaingia mitini - jiiiiiiiiiii! Ukweli umebaki kitendawili..........

Hata mie nimem miss sana, ukimuona mpe pole ya kichapo.
 
Ameogopa jamani ukweli alishasema ila baadhi media zimehongwa zinakataa kuanika ukweli, KUBENEA pekee ndiye aliethubutu kufanya hivyo, wengine wote ni wachumia tumbo. Acha nao waandishi wauawe km ilivyotokea iringa ndo wajue ubaya wa unafiki wao
 
Fedha-Fedheha mengine tuna mezea! washamweka sawa kama mwakiembe! Shujaa ni Daudi Mwangosi peke yake.
Leo atazikwa kishujaa na atakuwa shujaa all the time! Dr ulimboka-mwakiembe ni wachumia tumbo.Wanafki kabisa!
 
Wewe kuonja umauti mchezo???? Wakamngoa kucha, wakamngoa meno, na mengine waliyomfanyia hatuyajui . Amerudi ndio ila Kila akila nyama anakumbuka. Sidhani kama atarudia tena maisha yake yote
 
Nilisali sana arudi salama ili tujue nini kilimtokea kisha tuwamulike wahusika, sasa naanza kuhisi kama nata ku-reverse sala zangu; ila jamaa ndio kapona kisha kaingia mitini - jiiiiiiiiiii! Ukweli umebaki kitendawili..........
Wengine walijitolea kwa hali mali kutoa michango ya fedha ili apate matibabu mazuri ili arudi salama Tz kuendelea kuwatetea medical doctor wetu.Je imekuwaje kaishia tena mtini?
 
Acha aishie mitini, kuonja mauti si mchezo, wacha akimbie bongo akapumzike salama mafichoni!!!
 
UKIFIKIRIA SAAAAAAANA utagundua kuwa watanzania tunazoea matukio......,
 
Duh ni muda sasa wadau hakuna updates zozote za Ulimboka! hakuna na Ulimboka kukutana na waandishi? Kova naye aliahidi kukutana na waandishi kuelezea swala la ulimboka?? Tume pia iliundwa chini ya hemed msangi kuchunguza tukio zima? Pande zote kimyaaaaaaaaa! hii inaashiria kumalizika kwa picha!
 
Uongo wao kwamba aliyehusika na unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka ni Mkenya, Watanzania wengi tumeustukia. Sasa wanaweweseka hawana jinsi ya kuendelea na sinema na cha ajabu wahusika wa kweli na mateso ya Dr Ulimboka mpaka hii leo hakuna hata mmoja aliyehojiwa na polisi magamb na gazeti la Mwanahalisi bado limefungiwa kwa kuandika ukweli wa kile kilichojiri na haijulikani litafunguliwa lini.

Uongo wa polisi unazidi kukithiri kila kukicha wameudanganya umma wa Watanzania kuhusu yaliyomsibu Dr Ulimboka, wakadanganya tena kuhusiana na mauaji kule Morogoro na sasa wanaendeleza uongo wao dhidi ya mauaji ya Mwangosi.

Kova akwama kumzungumzia kilichomkuta Ulimboka
 
Huwa nikitazama ile video yake iliyopo youtube nafsi huniambia ww nidhaifu, unashindwa kutetea haki ya mwenzio iliyo na fungu la haki zako za msingi oooh pole! Eti tunajifanya hatuja sikia wala kuona na ila sio kwakufanya hvyo ni amani ya uhakika! La asha, bado angamizo linaendelea. Ulimboka samahani nimekusaliti
 
Hali hii inachanganya. Unashindwa kuwaelewa stars wote wawili yaani Ulimboka na serikali. Wakati mwingine unajikuta unashindwa wa kumwamini na kumlaumu hata kumuonea huruma ingawa ukweli unabaki pale pale kuwa serikali ilishiriki kumtesa na kujaribu kumuua Ulimboka. Lakini kama yeye ameridhia yaishe na kulala kitanda kimoja nao kama akina Seif, Mrema na Lipumba bila kumsahau Mbatia utafanya nini? Tabia za kizabazibina kama hizi zinakwamisha maendeleo na ukombozi wa taifa na watu wetu.
 
Dr Uli...lini atatoka mafichoni na kufunguka juu ya janjaweed waliomteka na kumtesa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom