nime mmiss Golden Mpoleeee

G Mpoleeee

Senior Member
Feb 9, 2012
153
16
sijasoma bandiko lake hata moja la utashu!
Hivo nimemkosa kweli naskia kala ban. Dayme!
Usiwe na was Golden Mpoleeee mm hapa G Mpoleeeee nakuwasilisha!

GM
 
kuhusu matokeo yaliyotangazwa umepata divisioni ngapi?

hamchelewi kudge! Ningekua f.4 liva ningefel ningekua cna hal ya kuingia jamii ninge faulu ningekua mitaan kujijgamba kwa wenzang kama hao madog wanavyofanyag. mm nipo college kwa taarifa yako!
 
hamchelewi kudge! Ningekua f.4 liva ningefel ningekua cna hal ya kuingia jamii ninge faulu ningekua mitaan kujijgamba kwa wenzang kama hao madog wanavyofanyag. mm nipo college kwa taarifa yako!

upo college gani best?
 
Dah!....umejiunga leo. Hivi kuna maana gani kuwa na ID zaidi ya moja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom