Nilonge...Nisilonge??

wapwaz na mabinamuz ninahisi huyu sio mgeni...ni yule rafiki yetu wa siku zote anayekujaga na ID tofautitofauti na kuchafua hali ya hewa.....STUKA
 
wapwaz na mabinamuz ninahisi huyu sio mgeni...ni yule rafiki yetu wa siku zote anayekujaga na ID tofautitofauti na kuchafua hali ya hewa.....STUKA

but why??? watu wengine wana amua tu kuwa distructive kiivi.....so wat???
 
wapwaz na mabinamuz ninahisi huyu sio mgeni...ni yule rafiki yetu wa siku zote anayekujaga na ID tofautitofauti na kuchafua hali ya hewa.....STUKA
Ndo huyo huyo anapost na kujibia ID nyingine kuwa ni haki ya msingi!! Yule jamaa si alipotea humu, karudi ndo na Bwabwa akaja. Yule ni bwabwa kweli kweli
 
Jemeni kuna nyimbo moja ya Msondo Ngoma aloimba Tx William, Nadhani wengi wenu humu mtakua mnaijua, inayosema.. "Wanaume tumeumbwa mateso! mateso!...kuhangaika...na kupata shida sana...." Hii nyimbo kila nikiisikia huwa najisemea moyoni. " mmh..afadhali nimehama huko hakufai mateso matupu..", Wanaume wengi siku hizi wakiona maisha yamewashinda, utasikia wamejitundika!! Kwa nini jamani ujiue?? Tafuta namna nyingine ya kuweza kuishi lakini sio kujiua!! Nadhani mpaka hapo utakuwa umeshaelewa namna nyingine ya kuishi.......

Namna nyingine yakuishi ni ipi,kujigeuza mwanamke?
 
Dah , haki ya nani wewe kweli ni Bwabwa hehehe .. unadhani kuliwa nani hii ndio njia iliyo baki? na dhani pia na wewe inabidi ujue kuna njia nyongine ya kuishi sio kuliwa bwana , vipi wewe?

Mwanaume wa shoka kama kashindwa maisha na hana jinsi yey0te ya kuishi na kama njia pekee ni ya kuweza kujisuport ni through sex kwanini aliwe? Kuna wamama wangapi na pesa zao wako lonely hawana wa kuwaliwaza na wengine wana stress za kusumbuliwa na waume zao ? ..Again hakuna sababu ya kuliw akiboga wakati sio shoga!
 
...!choko hilo!tokaaaaaaaaaaaaaa humu ndani!fool

Tumlaani kwa sauti moja.

Bwabwa mbona unachefua watu wewe ?

Mimi aliniamkia leo nahisi ni visible huyu anajaribu kuchokoza watu.

together we can kuanzia ss akuna kufungua wala kujibu post zake akatafute mashoga wenzake uko

Huyu sio shoga ni mtu anataka kuichefua JF ni mtu mwenye ID 2 huyu.

Keep posting mazee....achana na hawa wanafiki mapadre,mashehe wao mashoga hawasemi ati wanaogopa watalaanika weye wajiita bwabwa waja juu......

YO YO ndg yangu inakuwaje hapa? unanitisha usishabikie mmomonyoko wa maadili kama huu utazaa wwe imagine mtoto wako wa kiume anakuwa hivi.
 
We mwenye elimu yako ndo imekusaidia nini hapo ndugu???? elimu kama haijakomboa fikira zako haina maana!! ndicho ninachokiona kwako!!!

u are a curse!!!!!!!!!!!!

hawa ndo maibilisi wenyewe hawa, we unamuonaje!!!! nuksi tosha hii!!!

we ni mpumbavu kabisa, unadhani kila kifanywacho na weupe ni maendeleo???

dont tell me ndo maana uliiga na usenge????!!!!!! u are such an idiot......malabuku!!!! stupid ******* that wat you are!!!!

aaaagrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!1

hw n where??? n urself??

These are your comments regarding Bwabwa. They carry a homophobic tone.

Me, I'm not homophobic.
 
Ninapost tena hii article hapa; mods hizi thread zifungwe.

Mods;

sikuwahi kuiona hii thread na I do believe na nyie hamkuiona .

Mmeona haya maneno ya Bwabwa na still thread iko free!

Swala langu ni kuwa sitambagua, kumchukia wala kumponda huyu mtu anayeitwa Bwabwa. According to my view, sidhani kama anataka msaada hapa wankutatua tatizo lake isipokuwa anatangza uchafu. Pili kwa kumsaidia nadhani angeenda kwa wanasaikolojia, lakini kwa imani yangu mimi I am 100% sure than Jesus can heal him perfectly and permanently.

Nina hakika Bwabwa angetafuta washauri bila hata kujitanga humu.

Hii thread kuachiwa kutaleta double standards na ndio dunia inakoelekea

1. Kuna watu watasema hormone zimewazidi hivyo hormone zao zinawaruhusu kulala na wanyama!

2. wengine watasema hormones zao zinawaruhusu kulala na watoto wadogo

3. Wataamka wengine na kusema hormones zao zinawaruhusu kuchuna ngozi na kunywa damu, wasipofanya hivyo watakufa

4. watatokea wengine na kusema, wanapenda mapenzi ya kubaka, hormones zao zinawaruhusu kubaka mwanamke yeyote yule

This issue is a ticking bomb that has domino effect in destroying moral standards of human. I do know that we have disabled people, some can not see, others can not walk. Lakini sijaona hata sikumoja wakiwalazimisha watu wawe kama wao, au wakijitangaza kuwa wao vilema.

Kama kweli unajiona huko hivyo, na sababu siyo malezi au kutaka mwenyewe, na unafikiri umezaliwa hivyo, jihesabu kuwa kilema. Usimtukane Mungu wala kuwachafua wengine kwa sbabau wewe ni kilema wa hormones!

Please, believe me Jesus can make you free, HE can recreate you, you will enjoy your manhood with muscline behaviour, you will never ever think about this issues. This can happen only if you believe and allow him to work in your life, test him he is free!!!!
 
Asante Bujii, ulonena ni ya kweli, wengi humu jamvini wamekua wakinishangaa, sasa kwa nini nifiche hali niliyokuwa nayo? hiyo ndio hali halisi, hayo ni maumbile.Hamjui kama mficha uchi hazai. Haya mambo bado ni mageni kwa nchi zetu, lakini polepole sasa yanaanza kuenea, mwisho mtazoea tu.Kama kuna mtu yuko serious na mimi, niko teyari hata kutoa namba yangu ya simu tuwasiliane. Swali la nyongeza?...

kitambo sasa najitahidi kukuignore, lakini wacha niseme na wewe kiuwazi kabisa.
Mambo haya ni mageni huku kwetu, na unasema yanatokana na kuzidi kwa hormone za kike. Naomba unisaidie kufahamu mambo yafuatayo.

  1. Je, hili tatizo la kuzidi kwa hormone za kike halikuwepo hapo zamani? na kama lilikuwepo, mbona hakukuwa na watu kama ninyi katika jamii yetu, na ujio wenu unaonekana mgeni kabisa?
  2. Tueleweshe wewe binafsi ulianza vp tabia hii, ni nani hasa alikufundisha kuwa hilo shimo linatumika kwa kazi ya kuingiza zaidi ya kutoa uchafu?
  3. Unapomulikwa tochi tumboni na hali na wewe unayo tochi unajiskiaje? Je huwa hutamani kuitumia hiyo tochi yako kwa mwanamke?
  4. Je, Utakubaliana na mimi kuwa tatizo la ushoga linasababishwa na mabasha? mashoga wengi wameanza ushoga kwa kuingiliwa bila idhini yao, na kisha kuzoea hali hiyo na kuendelea kutamani mpaka ukubwani.
  5. Utajiskiaje baba yako akikukuta sehemu unafanyiwa kitend kama hicho?
  6. uKIPEWA NAFASI HII LEO YA KUWA MWANAUME Rijali, UPO TAYARI?

Nimehama na hiyo thread kukufuata huku maksudi kabisa,
Kutokana na thread uliyoanzisha huku, Je unatakubaliana na mimi sasa kuwa hakuna mtu aliyeumbwa shoga, na Ushoga ni sababu ya matatizo yako na ufinyu wa upeo wako kukabiliana na kuyatatua matatizo hayo, mpaka kuona kuuza makalio ndiyo solution ya kukimbia matatizo?
 
we ni mpumbavu kabisa, unadhani kila kifanywacho na weupe ni maendeleo???

dont tell me ndo maana uliiga na usenge????!!!!!! u are such an idiot......malabuku!!!! stupid ******* that wat you are!!!!

aaaagrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!1

Embu tuache kujibishana nalo huenda likaondoka na hii harufu yake ya mavi lililotuletea ikaisha!
 
YO YO ndg yangu inakuwaje hapa? unanitisha usishabikie mmomonyoko wa maadili kama huu utazaa wwe imagine mtoto wako wa kiume anakuwa hivi.
Sitetei ubwabwa......jamaa anajiita bwabwa hajasema yeye ni bwabwa....napinga kwa nguvu zoote mmomonyoko wa maadili kuanzia ulevi,uzinzi......mpaka ubwabwa....jamaa hana noma hapa JF aachangia kile anachoona bora kwake havunji sheria za JF basi aruhusiwe....

Vile vile sijui sheria za tz zinasema vipi kuhusu mtu SHOGA je ni kosa la jinai? shoga wakionekana wanashitakiwa au la? tmpe haki yake mazee......

Bwabwa anatofauti gani na wanaosema wanaji express themselves?
 
Ninapost tena hii article hapa; mods hizi thread zifungwe.

Mods;

sikuwahi kuiona hii thread na I do believe na nyie hamkuiona .

Mmeona haya maneno ya Bwabwa na still thread iko free!

Swala langu ni kuwa sitambagua, kumchukia wala kumponda huyu mtu anayeitwa Bwabwa. According to my view, sidhani kama anataka msaada hapa wankutatua tatizo lake isipokuwa anatangza uchafu. Pili kwa kumsaidia nadhani angeenda kwa wanasaikolojia, lakini kwa imani yangu mimi I am 100% sure than Jesus can heal him perfectly and permanently.

Nina hakika Bwabwa angetafuta washauri bila hata kujitanga humu.

Hii thread kuachiwa kutaleta double standards na ndio dunia inakoelekea

1. Kuna watu watasema hormone zimewazidi hivyo hormone zao zinawaruhusu kulala na wanyama!

2. wengine watasema hormones zao zinawaruhusu kulala na watoto wadogo

3. Wataamka wengine na kusema hormones zao zinawaruhusu kuchuna ngozi na kunywa damu, wasipofanya hivyo watakufa

4. watatokea wengine na kusema, wanapenda mapenzi ya kubaka, hormones zao zinawaruhusu kubaka mwanamke yeyote yule

This issue is a ticking bomb that has domino effect in destroying moral standards of human. I do know that we have disabled people, some can not see, others can not walk. Lakini sijaona hata sikumoja wakiwalazimisha watu wawe kama wao, au wakijitangaza kuwa wao vilema.

Kama kweli unajiona huko hivyo, na sababu siyo malezi au kutaka mwenyewe, na unafikiri umezaliwa hivyo, jihesabu kuwa kilema. Usimtukane Mungu wala kuwachafua wengine kwa sbabau wewe ni kilema wa hormones!

Please, believe me Jesus can make you free, HE can recreate you, you will enjoy your manhood with muscline behaviour, you will never ever think about this issues. This can happen only if you believe and allow him to work in your life, test him he is free!!!!
Mijitu mingine bana.....waambie kwanza hao mafisadi inaoua wat kila siku tz Yeshua awa heal......
 
Jemeni kuna nyimbo moja ya Msondo Ngoma aloimba Tx William, Nadhani wengi wenu humu mtakua mnaijua, inayosema.. "Wanaume tumeumbwa mateso! mateso!...kuhangaika...na kupata shida sana...." Hii nyimbo kila nikiisikia huwa najisemea moyoni. " mmh..afadhali nimehama huko hakufai mateso matupu..", Wanaume wengi siku hizi wakiona maisha yamewashinda, utasikia wamejitundika!! Kwa nini jamani ujiue?? Tafuta namna nyingine ya kuweza kuishi lakini sio kujiua!! Nadhani mpaka hapo utakuwa umeshaelewa namna nyingine ya kuishi.......

ss humu waungwana,hatupendi mavi.Angaika kijana sio unapenda mteremko tu

Hebu Tufafanulie hilo neno lako ( namna nyingine ya kuishi.......?) ili Tupate Kuelewa Vizuri. Maana Unatutisha kwa Maneno yako unayoyasema
 
Mambo ya Walawi/ Chapter 20 13. Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom