Nillingia kimya kimwa!!!!!!!

Bwaksi

Senior Member
Nov 2, 2010
125
4
Enyi wanachama wa JF, napenda kujitambulisha kua na mimi Bwaksi ni mwenzenu. I hope ipo siku nitakua seniour expert member:target:

Nainjoi sana michango ya wanachama!!! Na kuna wakati nikitaka kupunguza stress, lazima nitembelee JF
 
Wee unakuwa bwaksi tangia saa ngapi? Mi tangu saa 2 asubuhi niko bwaksi ile mbaya..anyway karibu!
 
Enyi wanachama wa JF, napenda kujitambulisha kua na mimi Bwaksi ni mwenzenu. I hope ipo siku nitakua seniour expert member:target:

Nainjoi sana michango ya wanachama!!! Na kuna wakati nikitaka kupunguza stress, lazima nitembelee JF
hahahaha!
BWAKSI BWAKSINGA
dogo vp wanasemahe SAUTI?
 
Enyi wanachama wa JF, napenda kujitambulisha kua na mimi Bwaksi ni mwenzenu. I hope ipo siku nitakua seniour expert member:target:

Nainjoi sana michango ya wanachama!!! Na kuna wakati nikitaka kupunguza stress, lazima nitembelee JF

karibu Bwaksi
 
"Wee unakuwa bwaksi tangia saa ngapi? Mi tangu saa 2 asubuhi niko bwaksi ile mbaya..anyway karibu!"

Asante kwa ukaribisho wa kiungwana!!!!!!!!! kUNA WAKATI NAAMKA NIKO BWAKSI
 
Asanteni sana!! Natumaini sasa niko huru kuendelea kuchangia hoja mbali mbali nikilindwa na taratibu/sheria za JF
 
Enyi wanachama wa JF, napenda kujitambulisha kua na mimi Bwaksi ni mwenzenu. I hope ipo siku nitakua seniour expert member:target:

Nainjoi sana michango ya wanachama!!! Na kuna wakati nikitaka kupunguza stress, lazima nitembelee JF

karibu sana
 
Kama ni mgeni kweli basi KARIBU SAANA

Kama ni mgeni mwenyeji basi KARIBU TENA
 
Enyi wanachama wa JF, napenda kujitambulisha kua na mimi Bwaksi ni mwenzenu. I hope ipo siku nitakua seniour expert member:target:

Nainjoi sana michango ya wanachama!!! Na kuna wakati nikitaka kupunguza stress, lazima nitembelee JF

utafika tuu
mmmhhhh nimeshidwa kukukaribisha ka mgeni sababu umejoin siku ya pili kabla yangu ....
 
Back
Top Bottom