Hakuna aliyebisha mkuu!
tatizo una kremu mno! una paper??
rudi hoja zangu ulichoandika hapa ni sawa kabisa
kumbuka nimesema udhaifu wa chama, udhaifu wa watanzania
sasa kuchukua sentensi moja kuonyesha ninamchukia unakuwa unakosea!!! nimeweka sababu kwanini mwongo!! hujakubali kuwa kasema uongo unasema mazuri yake!! kwani nani kabisha??
BAK vipi?
Hili mbona ni wazi wala halina shaka; nakumbuka jinsi watu walivyokuwa na shauku...
arusha ulijificha kwenye tairi
Anaweweseka baada ya kuona nyota ya zitto inang'aa zaidi yake anatafuta pa kutokea,mpuuzeni tu huyo mzee..anazeeka vibaya,eti kiongozi mkuu wa upinzani,ina maana yeye ni mkubwa kuliko mwenyekiti wake?
2015 uvumilivu huo hautakuwepo tena!wala hakuna mtu atakayemuuliza slaa tuingie mtaani au la!! wakichakachua tutapambana nao juu kwa juu watatumia vifaru ndege lakini nguvu ya umma itashinda!!
Nina wasiwasi na jinsia ya ribosome,
Nani kampa Slaa ukiongozi mkuu wa upinzani?
Kuhusu kuzuia umwagaji wa damu huo ni uongo wa aina yake! nani asiyejua dhamira yake baada ya uchaguzi na kutangaza adhma ya nchi kutotawalika? tunajua ni nani alimzuia, muulizeni kabla ya kushabikia!
Msishabikie watu kibubusa, mfuatilie vyema siasa za Bongo sio kwenye magazeti
Slaa na Ndensamburo si ndio walisema watafanya nchi isitawalike tena na wakatoa amri kwa wafuasi wao wakavamie kituo cha polisi kwa maandamano sasa hapo na kazuia umwagaji wa damu polisi au Slaa.