zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Mawazo ya watu wengine ni sawa na Mizoga inayotembea
Huyu alijipaka tomato sauce?
Mawazo ya watu wengine ni sawa na Mizoga inayotembea
Huyu alijipaka tomato sauce?
Ribosome, fikra zako ni sawa na headless chicken/carcass ideas.
baereze wabunge chini ya hamsini sijui uraiswalishinda kwa kura za nanikweli haws watu hamnazo .padre haipendezi Kuwa muongo nenda tu kaungame kwa mapadre wenzioDaktari wa kanoni anapodanganya umma.
Ni nani asiyejuwa kuwa aliingia mitaani mara mbili na mara ya kwanza wakalambwa risasi kule Arusha na Mashumbusi akala mkong'oto na mara ya pili akabambwa kajificha chini ya gari kwenye maspika pale Arusha.
Asiseme uongo. Sasa naona sababu zilizomkimbiza upadri, ni pamoja na hiii ya kutokuwa mkweli.
Ndugu, hakuna kura hata moja iliyoibiwa. Labda hesabu zikosewe na ingeweza kuwa in favour ya Slaa. Kukosea hata USA inafanyika.
Slaa asidanganye watu wasioelewa mambo yaendavyo. Na hii kitu ndiyo inawagharimu Chadema mara kwa mara~ Tabia yao ya uzushi na uwongo. Ni muda mwafaka kwa Slaa kutambua kuwa anahitaji kusema ukweli ili wapiga kura wa ukweli wampe kura. aliohutubia jana na kumshangalia chini ya nusu hawana kadi za kura. Kwa mtindo huu Atazeeka bila kukaa Ikulu kama mwenzake Maalifu Seif ambaye ilibidi ajipendekeze kuweza kuwa Rais
baereze wabunge chini ya hamsini sijui uraiswalishinda kwa kura za nanikweli haws watu hamnazo .padre haipendezi Kuwa muongo nenda tu kaungame kwa mapadre wenzio
kwa hiyo uraisi wa jk ni kwa hisani ni Dr.Slaa.!
Dr.Slaa ni mzalendo sana kwa taifa letu. 2015 LAZIMA uwe RAIS.
Anayestahili kwenda kuungama ni Mh.Dr Dr Dr Jakaya Mrisho Kikwete chini ya mwaka baada ya uchaguzi mawaziri nane wanaq'oka na waziri wake mkuu yuko rehanibaereze wabunge chini ya hamsini sijui uraiswalishinda kwa kura za nanikweli haws watu hamnazo .padre haipendezi Kuwa muongo nenda tu kaungame kwa mapadre wenzio
kikwete atampisha tuu dk Slaa Ikulu mwenye kwani kwasasa baraza la mawaziri lina jivua gamba kama ilivyo chama chake cha magamba sasa swali ninalo jiuliza je anawatu gani tena wakuwateua pale bungeni kukava hizo nafasi zilizo achwa wazi kwani mawaziri wanao achia ngazi ni buree kabisa walio baki bure kabisaaaa sijui nahao wabunge wa magamba waliopo bungeni nao bure kabisaaa atamweka nani au atawaweka nani kwenye hizo nafasi zitakazo bakia wazi