Nilizuia umwagaji wa damu Tanzania-Dr Slaa

Busara,hekima na upendo mkubwa kwa watanzania ndiyo dhamila kuu iliyomfanya DK SLAA kukataa kuingia ikulu kwa maandamano.

Hata usalama wa taifa wanalijua na ndiyo maana kauli yao unapodadisi nao husema hivi "ALIYEIKULU SIYO ALIYESTAILI KUWA IKULU MAANA UAMUZI WA WANANCHI HAUKUHESHIMIWA"

Asante sana dk kwa umahili wako mkubwa kuendelea kulijenga taifa maana sela za CHADEMA ndiyo zinazoongoza nchi lakini kwa sababu hawakuzianda ndiyo maana tunashuhudia madudu ndani ya serikali
 
Ni kweli kabisa. Ukiangalia yaliyotokea Zimbabwe, Kenya, Ivorycoast na kwingine tuna kila sababu ya kumshukuru Dk Slaa kwa busara zake. Hata jk analitambua hili na ndio maana cdm wanaongoza nchi nje ya ikulu

Ulikuwa umepanga kumkata nani na hayo mapanga?
 
Hili mbona ni wazi wala halina shaka; nakumbuka jinsi watu walivyokuwa na shauku...

Binafsi mbali na kukubali aliyoyasema Dr. Slaa pia huwa nifuatilia maoni na mapendekezo yanayotolewa na Mzee Mwanakijiji. Kwa kweli ushauri wako juu ya uchaguzi wa Arumeru ndo uliofanyiwa kazi na hatimae tukapata ushindi wa kishindo, ndo kusema ulisemalo huwa ninalitazama kwa macho ya ziada katika kutimiza ushauri wako.
 
Hizo busara zake mwaka 2015 hatutazisikiliza maana mwisho wasiku tunaoumia ni sisi watanzania walala hoi....Ushauli wangu kwa watanzania tuishinde kwa CCM kwa tofauti kubwa na pia tulinde kura zetu.....
 
Hizo busara zake mwaka 2015 hatutazisikiliza maana mwisho wasiku tunaoumia ni sisi watanzania walala hoi....Ushauli wangu kwa watanzania tuishinde kwa CCM kwa tofauti kubwa na pia tulinde kura zetu.....

Kama Arumeru mkuu.
 
Mungu awe pamoja na dr. Slaa ili aendelee kuwa na moyo kama huo ili amani idumishwe Tz japo itafika shm uvumilivu utatushinda!
 
hata jk analijua hilo tunaona tofauti kubwa ya kiutawala sasa hivi mikoa mingine mh.hatumuoni kabsa kila weekend
 
Back
Top Bottom