Niliyojifunza katika siasa za CCM na CHADEMA!

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
466
125
Yametokea mengi sana kwenye siasa za CCM na CHADEMA!
Na yafuatayo ni baadhi ya niliyoweza kujifunza.
1) wabunge wa vyama vyote vya siasa ndani ya bunge plus AG, 95% they talk about their parties interest na 5% tu they talk about public interest!
2) weakness ya chama kimoja ni advantage ya chama kingine!
3) kila upande upo makini kuwin majority support na wakat mwingine wako radhi kumtoa sadaka mwenzao for the party advantage.
4) hakuna chama cha kweli cha kumtetea mtanzania kwa dhati!
5) watanzania wengi tunawaza kwa kutumia mawazo ya viongozi wa hivi vyama, kwa sasa wengi hatuna mawazo huru.

My take: vyama vya siasa vina 5% tu ya kututoa kwenye umaskini na 95% tunayo sisi wenyewe watanzania!
 
3) kila upande upo makini kuwin majority support

hiyo ndiyo maana ya siasa na mdio mbinu sahihi za kisiasa
 
Hope everything in life is touched by Politics men!!!!!!!!!!!!!!!!
hayo mawazo yako ni potofu kwani kwa kupata kwako pesa kutatengeneza barabara zako mwenyewe, utanunua madawa ya hospitali na vitanda kwa pesa zako mwenyewe? TAFAKARI CHUKUA THEN CHUKUA HATUA
 
Njozi ya kusadikika, naona umetumwa na magamba kunitoa kwenye mood, stahili yako nikukuignore
 
Pumba tupu; mpaka nimechangia basi hamna la kuchukua na hujui political science inabidiu uende shule; siasa za tanzania sasa zipo junction na watu wameelewa; ila ccm sasa mnajaribu kupin ubaya wa ccm ni sawa na ubaya wa chadema ili baadaye mjenge hoja za cuf na udini nk; ukweli utadumu milele acha pumba na ushabiki kuwa objective
 
Yametokea mengi sana kwenye siasa za CCM na CHADEMA!
Na yafuatayo ni baadhi ya niliyoweza kujifunza.
1) wabunge wa vyama vyote vya siasa ndani ya bunge plus AG, 95% they talk about their parties interest na 5% tu they talk about public interest!
2) weakness ya chama kimoja ni advantage ya chama kingine!
3) kila upande upo makini kuwin majority support na wakat mwingine wako radhi kumtoa sadaka mwenzao for the party advantage.
4) hakuna chama cha kweli cha kumtetea mtanzania kwa dhati!
5) watanzania wengi tunawaza kwa kutumia mawazo ya viongozi wa hivi vyama, kwa sasa wengi hatuna mawazo huru.

My take: vyama vya siasa vina 5% tu ya kututoa kwenye umaskini na 95% tunayo sisi wenyewe watanzania!

Acha kugawa wenzako kimawazo
 
2) weakness ya chama kimoja ni advantage ya chama kingine!
3) kila upande upo makini kuwin majority support

hiyo ndiyo maana ya siasa na mdio mbinu sahihi za kisiasa

nakubaliana na wewe 100%! Na hcho ndicho nlichojifunza!
 
Hope everything in life is touched by Politics men!!!!!!!!!!!!!!!!
hayo mawazo yako ni potofu kwani kwa kupata kwako pesa kutatengeneza barabara zako mwenyewe, utanunua madawa ya hospitali na vitanda kwa pesa zako mwenyewe? TAFAKARI CHUKUA THEN CHUKUA HATUA

ndo maana nimesema political parties wana 5%
 
Pumba tupu; mpaka nimechangia basi hamna la kuchukua na hujui political science inabidiu uende shule; siasa za tanzania sasa zipo junction na watu wameelewa; ila ccm sasa mnajaribu kupin ubaya wa ccm ni sawa na ubaya wa chadema ili baadaye mjenge hoja za cuf na udini nk; ukweli utadumu milele acha pumba na ushabiki kuwa objective

naamini naijua political science zaidi yako, naamini hufahamu maana ya neno ''niliyojifunza''
 
Take action by yourself not depend on political parties!
Action at what level? There are certain resposibilities that can only be done by governments (in most cases led by political parties). If governments fail to deliver, actions by individuals will not take them very far and could even be detrimental like when people inflict mob justice on those they judge to be criminals because they feel the justice system is not performing for some reason or other.
 
Ungeileta kwanza kama preview kabla ya kuipost, ulidhani umeleta kitu cha akili angalia sasa unavyoumbuka!
 
Back
Top Bottom